Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Aisee hawa mkeka siwa elewi kwa mlio weza ku log in nahitaji msaada
Mimi sion sehem ya password bali wana kwambia uingize Pin ambazo sizikumbuki kwa sasa na tayari nilisha kua na account kabla ya haya mabadiliko ya sasa ivi. Je mlio weza kulog in kwa sasa mmetumia account mpya ama zile zile za zamani???
Msaada kwenye tuta wana jamvi
Humu kwenye odds ndogo ndogo wachawi wanapenda kukaa hasa kwenye final scorehautokosa timu 10 hapo
Mimi naweza kulog in lkn sioni sehemu ya kuweka stake
hautokosa timu 10 hapo
Wadau kwa kuwasaidia mkekabet bado haijawa stable na pin zimebadilishwa jana walituma kwa kila mtu pin mpya kwa simu pale kwenye bet slip inazingua nimesikia ukitumia computer ipo fresh
mnaosema kila kitu tayari wekeni mfano wa mkeka hapa tuone
NIMEJARIBU KUSELECT TEAMS INAKUBALI ILA BET SLIP NDO BADO WAMEFUNGA
Wakusoma, buddy, na wadau wote naombeni odds 1.9 au odds 2 nijilipue maana leo sijaingia darasani alaf nipo safarini.
Yani leo hakuna mechi kabisa.
Ahahaha hizo ni sample bado niko nachambua,uyu kanji lazma nimpge leoHahaha, mkuu naona umesala ... hutaki mchezo kbs timu 32. All the best Chief
M pia nachoka game zaid ya 250 nashndwa predict 5.Khaaaaaaa ... acha utani Allan248. Jana, leo, kesho, keshokutwa hadi mtondogoo kuna mechi za kufa mtu. Cha kushangaza hata ukichagua mechi 3 tu lazima umvagae mchawi (yani hapo ndio nachoka kbs)
M pia nachoka game zaid ya 250 nashndwa predict 5.
Ahahaha hizo ni sample bado niko nachambua,uyu kanji lazma nimpge leo