Tunkamanini
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 377
- 93
Hahahahaa..Khaaaaaaa ... acha utani Allan248. Jana, leo, kesho, keshokutwa hadi mtondogoo kuna mechi za kufa mtu. Cha kushangaza hata ukichagua mechi 3 tu lazima umvagae mchawi (yani hapo ndio nachoka kbs)
Noma sana.
Utakazochambua turushie tena man ... hali ni mbaya. Jana kanila 150K huyu mhindi nna hasira nae sn.
Mdau ..... Unaundugu na Yesu au Issa !!??? Upatie mechi 32..!???hautokosa timu 10 hapo
Jana Nliweka Mechi 12.
Zikatiki 10.
Mpaka Nikajuta Kwanini Nimeweka Mechi Nyingi.
Yani Tamaa Hizi.
Keka La 1000 Lilikua Lonasoma 300k.
*****.
Mdau ..... Unaundugu na Yesu au Issa !!??? Upatie mechi 32..!???
Siweki zote, nimeleta uku ili kila mtu ajichagulie zitakazomfaaMdau ..... Unaundugu na Yesu au Issa !!??? Upatie mechi 32..!???
Haaahaaaaaa! Buddy mimi nilicheza kama we nikaweka laki 5 alichofanya Jeju duj!
Inauma Sana Mkuu.Pole sana Chief ... hayo manung'uniko yako na mm ninayo. Jana huu mkeka uliniuma hatariiiii. Nikajiuliza hivi huyu Jeju nilimuongeza wa nn? si bora ningewaacha hao wawili nikapiga 300K (200K faida).
View attachment 361462
Mkuu umecheza wote hao!??? Huu ni zaidi ya mkekka hiii ni barabara kuuza mwanza -darKazi kwenu, leo humu hachomoki..