Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ahsante mkuu ngojea nichague nitembelee nyota yako leo
 
Licha ya kujihami na midouble chances ya kutosha lakini bado tu utashangaa mchawi anachomoza.
 
Licha ya kujihami na midouble chances ya kutosha lakini bado tu utashangaa mchawi anachomoza.


Hahaha ... acha kbs Chief, mchawi utashangaaa hakosekani. Kanjibah akininyoosha na leo atakuwa amenitolea confidence zote. Itabidi niende likizo walau kwa majuma mawili.


 
Nimekupata mkuu, hivi 2+ iko option gani? Na naipataje?
Maswali tuu...duuuuh!leteni mkeka...alafu majibu ya maswali haya yalishajibiwa kwenye post zilizopita tumia kitufe cha search kupata chochote unachouliza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…