Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

naombeni namba ya kampuni ya mkekabet na kumbukumbu ya malipo......
au kuna njia nyingine ya kudeposit??
 
Mkekabet bana ... eti saiv ndo wananiwekea hela yangu kwny account, mxiuuuuuuuuuuuu
 
Mkeka bet muonekano mpya ni mBaya, khaa![emoji42][emoji42][emoji42].......Maandishi madoogo..!!

Hawasemi either ni Bet Won au laah! Live bet ipo kimya kimya haionyeeshi.

Hadi wanasababisha nakosa umakini kwel kuweka mikeka...Inachanika tu, ahahahahaaa
 
wamepiga hatua 3 mbele na kurud hatua 5 nyuma na kujipongeza, kuto kuonyeesha kama umeshinda wamewaiga mbet... hicho kitendo nimekilaani sana ,
nmeweka mkeka nasuubiri kumbe kilishaniwakia kitamboo
kwa huu mtindo watapata faida zaid aisee maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…