Mkeka ni michoso tu...hawana mvuto tena kwangu nimeachana nao mpaka watakapo kaa vizuriHawa mkekabet hizi mechi za Friends & EUROPA qualification wamezibania options sn ... kwa mfano "Both teams to score" hamna. mxiuuuuuuuuuu
mkuu August mbali sanaAlhamdulilah ramadhan imeisha, tunarudi kazini rasmi 5th August
Hahahaha dah. Mkuu mie na concentrate na ligi kubwa.mkuu August mbali sana
kama leo hela njenje bate, midty, aik, Helsinki, gote, vojvodima zote zinashinda
Niliwaonya lakini kuhusu hiyo mechi.schalke hafai hata kuliwa na chumvi yaani hapa atachana mikeka yoote katkat....
Kashamaliza kazi aliyotumwa na mhindi, FT 0:0schalke hafai hata kuliwa na chumvi yaani hapa atachana mikeka yoote katkat....
Ha ha haaaaa mie kanipiga nikavaa Bomu live betting nikawapa sare ya bila kufungana akatemaKashamaliza kazi aliyotumwa na mhindi, FT 0:0
Niliwaonya lakini kuhusu hiyo mechi.
Naanza kubet 20, 10, 6, 2. Mwisho 25Hahahahah ... guys let's bet responsibly & what you can afford to lose.
Naanza kubet 20, 10, 6, 2. Mwisho 25
inasikitisha sana.... [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]