Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BUDDY bora umehamia huku premierbet maana huku uwezekano wa kumpiga ni mkubwa kuliko kule mkekabet maana wanapunguza option



Hahaha, hawa jamaa wananifurahisha Odds zao zimechangamka sn ... nafkiri wana Odds kubwa kuliko wengine wote!
 
Jana nimechezea KO na leo nimechezea KO


Pole sn Chief ... tunaugulia wote. Cha ajabu ukiangalia mechi zilizocheza leo halafu hujaweza kubahatisha hata kamkeka ka timu 2 unaweza ukajiona ni fala sn!

Yani inawezekanaje mechi karibuni 100, mtu unashindwa kubahatisha mechi 2 au 3 tu??? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Hahahahaaa...umenifanya nicheke kwa sauti kaka..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ukiweka nyingi unapigwa tu pia..... tufanyaje sasa..... naona nisubiri ligi kubwa tu epl,la liga serie a, championship,league one, league, two, eredivisie, proleague -belgium zianze...... shikamooo mhindi...
 

Attachments

  • ny.png
    24.1 KB · Views: 35
ukiweka nyingi unapigwa tu pia..... tufanyaje sasa..... naona nisubiri ligi kubwa tu epl,la liga serie a, championship,league one, league, two, eredivisie, proleague -belgium zianze...... shikamooo mhindi...


Aisee pole sn ... sijui formula ni ipi yani.
 
Hivi website ya premier bet tz ni ipi officially mana nikijaribu google wananiletea premier rwanda na premier plain without a country
 
Naombeni Odds 2, hali ni mbaya na weekend ndo hiyoooooo ....

Mimi hizi near misses za kila siku zimenichosha ... kila siku kuwe na mchawi tu, khaaaaa. Ukiweka timu chache ni nongwa, ukiweka nyingi ni nongwa ... sijui tufanyeje.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…