Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera mkuu, sipati picha ulivyokuwa umeyabinya.


Hahahahah ... FC Astanaaaaaaaaaa ... hawa jamaa much respect sn. Hawajawahi kuni-let down. Nimechelewa hii ... ningerusha kilo, maana mpk dk 85 waliweka odd ya 3.5 kwa over 5.5
 
Hhaaaaaaa! Kaka uko fasta sana, asante sana kaka huwezi amini nishakataa tamaa. Dk ya 93 Astana wananipatia faida ya laki tatu na kumi elfu.
Asanteni kwa maombi yenu


Safi sn Wa Kusoma, bora umepunguza machungu. FC Astana ni majembe sn ... ukimbetia mara 10 atakudisappoint mara 1 tu.
 
Jamani hii mechi ya Astana HT wapo 1:3 Mhindi kaweka over 5.5 odd ya 2 mimi nimejitoa mhanga nahitaji goli mbili tu kipindi cha pili.

Stake 300,000, maombi yenu ni mhimu pia
Kumbe tumemtusua mhindi, niliacha simu baada ya kufka dakka ya 88 .
 
Safi sn Wa Kusoma, bora umepunguza machungu. FC Astana ni majembe sn ... ukimbetia mara 10 atakudisappoint mara 1 tu.
Asante kaka, post yako ya kuuliza kama Astana anacheza leo ndio ikanifanya nitafakari kwa nini mnamsifia. Nikakumbuka niliwapa 2+ wameshafika 3+ nikashangaa mhindi bado kaweka 2.2 kwa magoli sita nikatia kilo tatu nikaenda saloon, nikawa nacheki matokea

Kinyozi akawa anashangaa tu ninavyohangaika nashangaa dk ya 93 goooooooooool. Kweli usipobet huwezi kumla mhindi
 


Hahahahaha ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…