Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongereeni sana mliocheza magoli japani leo, nilisema mapema kuna hela japokuwa mimi nimeliwa


Mi nlichelewa ikabidi niwasubiri kipindi cha pili nicheze "In-Play" ... hawajaniangusha.

 


BET WON mapeeeeema! ... tayari una 300K kibindoni. BIG UP.
 
mbona bet history haionyeshi payout??
alafu skuiz tim ikishinda hata hawaonyeshi rangi ya kijani au nyekundu...mkekabet siiilew kwrny bet history

Bet History
TZS 5000.00 Fourfold
Placed On: 00/06/2016 10:17
Bet Type: Fourfold
Settled (Y/N): No
Total Stake: 5000
Payout: 0
 
Jamani kila nikitaka kutoa pesa meridian haifungui option zao nimejaribu mpaka kwenye app yao ila inagoma nifanyeje?
 
Daaaaah, amenisumbua sana Kanji wiki hii na mamechi yake ya kirafiki. Hatimaye amekaa. Bet won. Ngoja niwasubiri wakolombia usku.
 
Kuna mech ya flamingo inaendelea wekeni dau mana hisia zangu ni 1:0 full time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…