Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nimekamatia hapa
Ranheim 2- Sandefjord 0 half tym.... Mhindi kama anaongeaga nao..... Sijui anawapigiaga simu..... "Vevee baki veve bana Mimi liwa pesa mingi pigwa veve Mimi kupe nusu pesa liwa kwa Mimi Rajeskapoorsunjaysunilshetsundeomithunchakorobotyamitahbatchandry......." Huku anakuna tumbo
 
Mkuu sanderfjord katibuaaaa mbayaa daah ila najipa moyo kwa mi mgen ktk kubet
 
Duu nimeamini uchawi upo hii si kawaida kabisaaaa
 

Daaah wakuu poleni kwa kipigo ... leo nlikuwa safarini hivyo sikuweza kutupia hata mkeka mmoja. Saiv ndio nimepata wasaa wa kuingia humu jamvini. Naona leo nimeepushwa na kipigo, maana najua lazima Sandefjord angenichania na mm.

Ila kwa kuwa tumeshalogwa na huu mchezo, ngoja nisilale bila kubahatisha ....



g'nyt guys
 
Mkuu sanderfjord katibuaaaa mbayaa daah ila najipa moyo kwa mi mgen ktk kubet
karibu mkuu,
sheria za kubeti
1. beti hela ambayo haitakutoa machozi ukiliwa.
2. usibeti kwa mapenzi yako kwa timu.
3. usirudie timu moja kwa chaguo sawa zaidi ya .mkeka mmoja.
4. improvise, ukirudia jambo lilelile mara elfu utapata tokeo lilelile mara elfu.
5. usiache kubeti kwani ndio njia pekee ya kula hela ya mdosi.

zipo kumi nyingine kesho.....

ukaza buti ukiweza kuvuka kipindi hiki huko mbele kuanzia sept ni mchekea.
 
Premier bet wa3sng3 sana. Nimeweka 100k nijilipue Y mechi Ya IBV hadi mda huu hela haijaingia. Dk
 
Anza kubana mapema Akranes anaongoza 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…