Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kujua hii kitu namna ya kufungua account na kuweka Hela na unacheza vip Kuna jamaa yangu mmoja naona kubet kahacha kahamia huku lkn kunielekeza hatakiView attachment 2778649
Hata mimi nina jamaa yangu anaujua vizuri huu mchezo nilijaribu kumgusia akaniambia nianze kwanza kupitia pitia YouTube atakuja kunielekeza badae nikishapata logic ya hiyo kitu
 
Vip hujapitia huko YouTube umepata nn
 
Naomba kujua hii kitu namna ya kufungua account na kuweka Hela na unacheza vip Kuna jamaa yangu mmoja naona kubet kahacha kahamia huku lkn kunielekeza hatakiView attachment 2778649
Kama unajua kubeti na unashindaga kila siku ni rahisi sana ndugu. Na upo sehemu sahihi kuelekezwa.
Huo mchezo cha msingi ujue hiyo mistari either over 0.5 au over 2.5 au both team to score. Ni rahisi sana kuucheza huo.
Ila halahala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…