Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aria AI ya Opera utaipata kwenye beta versions za Opera. AI ya Microsoft (your copilot AI) utaipata kwenye app ya microsoft ya bing.
Ziko Nyingi Sana nimezipata nyingine za kupredict
 
Ila mimi kuhusu GG nipo tofauti na wengi sana,hivi kama una guts za kuweka gg,kwa nini usiweke over 1.5 goals haijalishi ni gg au kafunga mmoja?
 
Ila mimi kuhusu GG nipo tofauti na wengi sana,hivi kama una guts za kuweka gg,kwa nini usiweke over 1.5 goals haijalishi ni gg au kafunga mmoja?
 
Wakuu kanji kajichanganya, lipukeni fasta hapo kwenye yellow card, tayari zipo 6 lakini market ya over 5.5 bado hajaitoa
 
Ila mimi kuhusu GG nipo tofauti na wengi sana,hivi kama una guts za kuweka gg,kwa nini usiweke over 1.5 goals haijalishi ni gg au kafunga mmoja?
Tatizo ni odds, ukiweka market ya over 1.5 odds zake ni ndogo tofauti na ukiweka market ya GG.

Let say uamue kutafuta odds 3 kwa market ya GG, ni chini ya gemu tatu tu utakuwa umeshapata japo risk ya kupoteza inakuwa kubwa coz unachagua option ngumu kidogo.

Na kwa market ya total goals ft over 1.5, ukiamua kutafuta odds 3 itakulazimu upate si chini ya gemu 6 au 7, hapa pia risk ya kupoteza iko pale pale tena kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…