Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mfumo ni kwamba Kila weekend lazima liwepo kubwa jinga watu walifate life .....bookers wapige cheers simple.
 
Mkeka wa Mr MBOJE TZ huyu mwamba alivoona Barca haeleweki akamfuata Granada win or draw kwa M 10 na Kapata Faida ya 5 M

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hata mimi ningekuwa na B ningekula 1x ya granada maaana ilikuwa lazima baka afe au adroo watu waliwe ogopa sana team kubwa zikicheza saa 4 huko au saa tano ..........
 
Hii haiwezi ku-work kula hela ya kanji kirahsi ivyoo.
 
Hahahaha AI atasema msimu huu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…