Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Hahahahaa...mwaka wetu huu.Natafuta timu 10 za eufa euro kesho.... Niwape sare ya dakika 10 ...hazipungui point 3....
Mwendo huyo inabidi uwe na mapana ...... Dau ndefuNipo najipanga siku nikirejea ni mwendo wa taratibu kama kinyonga
haha mkuu tatizo ni kwamba kuwithdraw ni kudogo sana kuliko kudeposit mpk mtu unasahau kama kuna kuwithdraw.. kama kushinda kungekuwa kwingi nisingejali hata niwithdraw baada ya miezi sita lakini.. hii game bana imekuwa ngumu tu kuacha lakini ingelikuwa ni amri yangu ningeli (siri yangu)..
nb: tukisema sana kuna jamaa linaitwa fisadi kuu humu linatokeaga kwa msimu halina dogo kabisa..
Tena umenikumbusha, mie nashusha kokoro la hiyo option, nawatoa wachovu tu afu nione mchawi sasa, chagua zile mechi ngumu ambazo ni likely kuwa na magoli machache kama unataka 10 tu..hapa lazima azirudishe.Natafuta timu 10 za eufa euro kesho.... Niwape sare ya dakika 10 ...hazipungui point 3....
Natafuta timu 10 za eufa euro kesho.... Niwape sare ya dakika 10 ...hazipungui point 3....
Tena umenikumbusha, mie nashusha kokoro la hiyo option, nawatoa wachovu tu afu nione mchawi sasa, chagua zile mechi ngumu ambazo ni likely kuwa na magoli machache kama unataka 10 tu..hapa lazima azirudishe.
Ni ngumu mkuu ila leo itatoa sana sababu ni 1st leg na hakuna atayetaka kuruhusu goli ili 2nd leg iwe rahisi kwake kufuzu...pia naziona NG si chini ya 10.SIUNGI MKONO HOJA, HIYO NI OPTION MOJA GUMU SANA
Mimi nimeshawakatalia makokoro lkn hawakomi.Timu kumi ni nyingi sana. Kama unastake ya kuanzia 100k omba watu wakupe odds za uhakika upate hela. Hayo makokolo kila siku hayakosi mchawi.
Mimi nimeshawakatalia makokoro lkn hawakomi.
Jamani kokoro sio dili, mtakuja pumzika kama sisi
Cliftonville FC v AEK Larnaca FC
cliftonvile double chance odds 2.5 hii ni hela wadau. Kama una 100k weka hautajutia.