Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau hv meridian c unaweza kudeposit kwa m pesa mana Nataka kushift from ladbrokes to meridian mana kudeposit ela mpk uende kwnye ofis zao na ziko 2 tu cjui
 
*150*00# namba ya kampuni ni 170066 namba ya kumbumbu ya Malipo weka jina lako au ID namba
 
Wazee wenzangu ukibet (half 1 time 28+) halafu ikatokea goli la kwanza likafungwa kipindi cha pili au full time ikawa bilabila hapo unakuwa umekula au umeliwa?
 
Wazee wenzangu ukibet (half 1 time 28+) halafu ikatokea goli la kwanza likafungwa kipindi cha pili au full time ikawa bilabila hapo unakuwa umekula au umeliwa?
0-0 umeliwa
any goal after 28+ umekula
any goal below -28 umeliwa
 
Huu unaitwa wa kujilipua.
 

Attachments

  • 1409826143005.jpg
    25.4 KB · Views: 118
France vs Spain............ 28+
Italy vs Netherlands....... x2
China vs Kuwait............. China
Bosnia-herzegov vs Liechtenstein........ Bosnia
Slovakia vs Malta............... slovakia

mnaonaje hapo wakuu?
 
France vs Spain............ 28+
Italy vs Netherlands....... x2
China vs Kuwait............. China
Bosnia-herzegov vs Liechtenstein........ Bosnia
Slovakia vs Malta............... slovakia

mnaonaje hapo wakuu?
unaweka hizi timu zenye odd ndogo ya nini?
bosnia odd ya 1.05
slovakia odd ya 1.16

28+ ni nzuri ila ni kama vile bahati nasibu

china anashinda au droo hawezi fungwa, uhakika mupe 1X

italy vs natherland x2 ni sawa nahis inaweza isha droo hii gemu
 
pesa nyingine ya wazi, oddd nzuri 1.71

bayer 04 leverkusen vs st pauli , win, l 1 l

bayer leverkusen lazima ashinde,
hiyo timu nyingine ni timu ya daraja la pili.

lakini ni mechi ya kirafiki, vilevile nina wasiwasi na hiyo odd kubwa labda wanataka wawetege watu , halafu wauze mechi.

but on your own risk......
 
wakuu sisi wa mikoani hatuwezi cheza kampuni nyingine zaidi ya mbeti ?
 
Wale wa meridian online.. Tiketi ikishinda unawekewa hela yako kwa akaunti yko mara baada ya mpira kwisha au inachukua mda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…