Asante Mkuu pleo heshima kwakomkuu binjo, bado hamna jinsi ya kumfunza mtu awe punter mzuri, jitihada zako zitakufikisha huko, nawe unajibidiisha sana hope utakuwa mahili siku zijazo.
binafsi nitakushauri ujiunge premierbet, au iplay8casino nafikiri itakuwa online wiki mbili zijazo kibongo hao nafikiri washindani wa meridian wakipishana kwa mambo machache.
mechi A vs B Yanga(1-0) vs Mediana(1-0)
dimba taifa
muda 16:00
Normal
1(1) x(3) 2(2)
hii ni kwa dkk 90 + za ziada ila hausu 30 za nyongeza.
1 A ashinde
2 B ashinde
3 watoke draw ~ umeshinda
,handcap
1(4) x(6) 2(5)
mfn
A(+1) vs B
hapa mmoja anakuwa amepewa goli kabla ya mechi hivyo kama ni A kapewa
4 A ashinde au draw ~ umeshinda
5 B ashinde kwa angalau tofauti ya goli 2
6 A afungwe kwa tofauti ya goli moja 0-1, 1-2, 2-3,.....
First half result
1(10) x(12) 2(11)
matokeo kipindi cha kwanza dkk 0 - 45
10 A ashinde
11 B asinde
12 draw kipindi cha kwanza ~ umeshinda
Second half result
1(13) x(15) 2(14)
kama hapo juu ila hawahesabii matokeo ya kipindi cha kwanza inakuwa kuanzua dkj 45 - 90+.
Wire1.5
1(16) 2(17)
Wire2.5
1(18) 2(19)
Wire3.5
1(20) 2(21)
wire zinahusu magoli yawe chini au juu ya 2, 3, 4
Half with most goals
1(22) x(24) 2(23)
22 kipindi cha kwanza ukijumlisha idadi ya magoli yazidi cha pili ~ umeshinda
23 kinyume cha hapo juu
24 idadi iwe sawa
Odd or even
0.(25) e26
jumla ya magoli
25 yasigawsnyike kwa mbili
26 yagawanyikr kwa mbili kwa mfn wa yanga hapa umeshinda, hint 0 inaweza kuwa tofauti kwa nyumba uliyopo ila inadondokea 26.
Both teams score?
Yes(27) no(28)
kila timu ishinde au la, hint: mara nyingi inakuwa dkk 90 ila inaweza kuwa 0-45, 45-90.
27 ndio ~ umeshinda
28 hapana
Draw no bet
unapewa hela timu ikishinda
unarudishiwa wakitoa draw
unaliwa ikifungwa timu uliyoichagua
1(28) Yanga ishinde droo unarudishiwa hela
2(30) mediana ishinde draw unarudishiwa hela
; sija proof read nakimbilia kuandaa mkeka kama kuna wasi popote usisite, kuuliza, kuongezea ..... jiridhishe na nyumba uliyopo maelezo yanaweza yakapishana kidogo.
Mkuu ukijiubga na premierbet pesa yako utakuwa unaipateje?mkuu binjo, bado hamna jinsi ya kumfunza mtu awe punter mzuri, jitihada zako zitakufikisha huko, nawe unajibidiisha sana hope utakuwa mahili siku zijazo.
binafsi nitakushauri ujiunge premierbet, au iplay8casino nafikiri itakuwa online wiki mbili zijazo kibongo hao nafikiri washindani wa meridian wakipishana kwa mambo machache.
mechi A vs B Yanga(1-0) vs Mediana(1-0)
dimba taifa
muda 16:00
Normal
1(1) x(3) 2(2)
hii ni kwa dkk 90 + za ziada ila hausu 30 za nyongeza.
1 A ashinde
2 B ashinde
3 watoke draw ~ umeshinda
,handcap
1(4) x(6) 2(5)
mfn
A(+1) vs B
hapa mmoja anakuwa amepewa goli kabla ya mechi hivyo kama ni A kapewa
4 A ashinde au draw ~ umeshinda
5 B ashinde kwa angalau tofauti ya goli 2
6 A afungwe kwa tofauti ya goli moja 0-1, 1-2, 2-3,.....
First half result
1(10) x(12) 2(11)
matokeo kipindi cha kwanza dkk 0 - 45
10 A ashinde
11 B asinde
12 draw kipindi cha kwanza ~ umeshinda
Second half result
1(13) x(15) 2(14)
kama hapo juu ila hawahesabii matokeo ya kipindi cha kwanza inakuwa kuanzua dkj 45 - 90+.
Wire1.5
1(16) 2(17)
Wire2.5
1(18) 2(19)
Wire3.5
1(20) 2(21)
wire zinahusu magoli yawe chini au juu ya 2, 3, 4
Half with most goals
1(22) x(24) 2(23)
22 kipindi cha kwanza ukijumlisha idadi ya magoli yazidi cha pili ~ umeshinda
23 kinyume cha hapo juu
24 idadi iwe sawa
Odd or even
0.(25) e26
jumla ya magoli
25 yasigawsnyike kwa mbili
26 yagawanyikr kwa mbili kwa mfn wa yanga hapa umeshinda, hint 0 inaweza kuwa tofauti kwa nyumba uliyopo ila inadondokea 26.
Both teams score?
Yes(27) no(28)
kila timu ishinde au la, hint: mara nyingi inakuwa dkk 90 ila inaweza kuwa 0-45, 45-90.
27 ndio ~ umeshinda
28 hapana
Draw no bet
unapewa hela timu ikishinda
unarudishiwa wakitoa draw
unaliwa ikifungwa timu uliyoichagua
1(28) Yanga ishinde droo unarudishiwa hela
2(30) mediana ishinde draw unarudishiwa hela
; sija proof read nakimbilia kuandaa mkeka kama kuna wasi popote usisite, kuuliza, kuongezea ..... jiridhishe na nyumba uliyopo maelezo yanaweza yakapishana kidogo.
tsh, iplay unacheza $ unato na kuweka tshMkuu ukijiubga na premierbet pesa yako utakuwa unaipateje?
Na itakuwa inakuja kama tsh. Ama dollar
Kiwango cha vocher ni kiasi gani unatakiwa kuwa nacho mkuutsh, iplay unacheza $ unato na kuweka tsh
Mi nataka niwe natoa na kuweka kupitia m-pesaKiwango cha vocher ni kiasi gani unatakiwa kuwa nacho mkuu
Mi nataka niwe natoa na kuweka kupitia m-pesa
Kuliko kuweka kokoro...hiyo buku bora ukanywe sodamim pia siungi mkono makokoro maana smtyms ukweli tunaujua tunafos odds ziwe nying lakin kumbuka the more the teams the more unapunguza asilimia za kushinda ,,,truth
Au uweke buku ikuzalie mia tatu, sio mbaya tatizo kinachotuponza humu hata mimi nikiwemo ni tamaaKuliko kuweka kokoro...hiyo buku bora ukanywe soda
Hata kwenye biashara za kawaida mfano huwezi ukawa na mtaji elfu kumi ukapata faida elfu ishirini...faida itakuwa elfu nne kushuks chiniAu uweke buku ikuzalie mia tatu, sio mbaya tatizo kinachotuponza humu hata mimi nikiwemo ni tamaa
kuna mdau anaitwa kingz ye aliweka buku naaa akapiga M5Kuliko kuweka kokoro...hiyo buku bora ukanywe soda
Ni zaid ya bahati iyokuna mdau anaitwa kingz ye aliweka buku naaa akapiga M5
Asante mkuu nimelog in premier bet hatua inayofuataa ni ipi mkuuHata mimi ushaur wangu wa kwanza kabisa jiunge PREMIER BET.... wa pili Meridian bet kwa some options they have......
Premier bet unaweza kutumia M-pesa au Tigo-pesa..
Meridian wanatumia M-pesa tu kwa sasa.
USHAURI; Binjo, Tembelea websites za hayo makampuni..Soma maelezo yao taraatibu, utaelewa tu.....kitakacho kutatiza utaomba msaada wetu...
By the way; Karibu sana kujaribu bahati..hahahahhahahh
Japo hela zinauma tukiliwa.
Besides probability in betting/gambling instincts matters most....probability ni nguzo ya gambling science ambayo ina gambling mathematics na mathematics of bookmaking, nk.. kama probability ni part ya gambling basi hata ukiitumia utaliwa na kula kama kawaida japo kuitumia ni moja ya hatua ya kupunguza kuliwa sana(haimaanishi hutaliwa)..
probability haisemi ushindi mmoja 100% (kama event moja (jambo ambalo halina maana kutumia probability)) ndio maana hata underdog (mfano Barcelona na Yanga) bado atawekewa uwezekano wa kushinda japo utakuwa mdogo lakini kuwa underdog hakumfanyi kuwa nje ya uwezekano wa matokeo (probability)..