FC Den Bosch - De Treffers
Over 1.5 goals (Half time)
2.08
Umekataa nauli sijui ulitaka nini.....BET WON2+ first half huwa naziogopa sana, ukizingatia hii ni pesa ya nauli
FC Den Bosch - De TreffersKuwa serious mkuu kama unataka kunisaidia kaka
Hiyo mechi niliitafuta mkekabet nikaikosa. Nitafutie nyingine plzFC Den Bosch - De Treffers
Over 1.5 goals (Half time)
2.08
Mkuu nilikupa iyo ukakataa, sasa dk ya 33 ni BET WON....umeikimbia nauli
Cheza hii.Hiyo mechi niliitafuta mkekabet nikaikosa. Nitafutie nyingine plz
Kuwa serious mkuu kama unataka kunisaidia kaka
Asante nimeamua kujiua hiviWakusoma mpe Y man city. Dyanmo zagreb over 0.5 goals first half.
Hahahaha ... umenchekesha sn Wa Kusoma ... mwana amekupa odds unasema awe serious.
Hizo odd 3 alizoziogopa Wakusoma leo lazima zitoe.....hao watoto wanaongoza 1 bila muda huu!!Dundalk hawawez maana game ya kwanza alitoa nao sare kwake eti leo yuko ugenini mhindi kawapa hao watoto odd 3
Hahahaha ... umenchekesha sn Wa Kusoma ... mwana amekupa odds unasema awe serious.
Tayari nimeshapata nauliH
Hizo odd 3 alizoziogopa Wakusoma leo lazima zitoe.....hao watoto wanaongoza 1 bila muda huu!!Dundalk hawawez maana game ya kwanza alitoa nao sare kwake eti leo yuko ugenini mhindi kawapa hao watoto odd 3
WonCeltic 2+ first half
D Zagreb 2+ full time
kanjibai kakusafirisha[emoji1] [emoji1]Tayari nimeshapata nauli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu moyes mi nashtukaga kweli nikiona àvatar yako... nakua nahisi kanji kashafanya mambo !!!!!kanjibai kakusafirisha[emoji1] [emoji1]
Wacheza betting wengi ni COMEDIANS .... Sasa naamza kuamini.....
Hahahaha ... umenchekesha sn Wa Kusoma ... mwana amekupa odds unasema awe serious.