Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaaaahaaaaa........ Kokoro limechanawa na kamongo..... Mamaaaeee.......
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-21-09-54-49.png
    52.7 KB · Views: 35
Guys, is this worth kujilipua ... au ntalipuliwa?? ... ushauri tafadhari

 

Attachments

  • upload_2016-7-21_10-6-38.png
    6.6 KB · Views: 48
Italy nina wasiwasi nae so take care


nimewapa wafungane magoli kati ya mawili hadi manne (i.e. yasipungue mawili na yasizidi manne) ... ww unahisi hawatafikisha mawili au watazidi manne? au hawaeleweki niachane nao? mbona umetoa ushauri unaoning'inia mkuu ...
 
nimewapa wafungane magoli kati ya mawili hadi manne (i.e. yasipungue mawili na yasizidi manne) ... ww unahisi hawatafikisha mawili au watazidi manne? au hawaeleweki niachane nao? mbona umetoa ushauri unaoning'inia mkuu ...
Italy watascore as well england watascore so tyr goli mbili hapo la ushind litatafutwa na yeyote ambalo ni bao la 3 na la mwisho go oN


Sent from my itel it1550 using JamiiForums mobile app
 


Wakuu masaada kwann mkeka hii system yao mpya nkiweka pin wanadai 4 wakat mwanzo zlikua znaingia 5
 
Goteborg WIN (20:00)
Qabala WIN (20:00)
Zamaleck WIN (19:30)

Odds 3.14
 
Mpira bwana. Y ya sriwijaya ilikua na 2.73 alafu wametoka 2 - 2. Yani hadi niliiogopa kuifata.
 
Mkuu ngoja tufe wote, ingawa hiyo game ya waIndonesia imeshanipita. Nachukua zilizobaki km zilivyo ... sitii mbwembwe
Bora hiyo ya WaIndonesia imekupita maana washatia nuksi..najua unangojea mechi tatu sasa hivi.All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…