Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premier bet wanazingua network. Yan wanataka kututoa kwenye reli ya kubet lakini sisi ni wakongwe tu. Timu hata kama imepita mda wake sijaziii.
 
Nipo shambani hapa mkuu
mfano mzuri wa matumizi ya beti kulipia huduma!, mi nilikua nabeti kwaajili ya hela ya bia tu, msimu huu nabadilika, naongeza na bill nyingine kwa mfuko wa mdosi.
 
Bora hiyo ya WaIndonesia imekupita maana washatia nuksi..najua unangojea mechi tatu sasa hivi.All the best

Yani aisee, nmeangalia saiv nkaona huyo muIndonesia kaloga ... bora amenipita aiseee. Saiv ngekuwa nafyonza tu ... mxiiuuuuuuuuuuuu
 
Kwa hisani ya clevertips.net ... sijui nikotaje Odds 3 hapa nitoke na 100K. Ushauri tafadhari

View attachment 368759

Stromsgodset v Sonderjyske Y
AEK Larnaca FC v Cliftonville FC Y
Osmanlispor FK v FC Zimbru Chisinau Y
Kama unataka hela chukua hizo mwanangu kabla Muhindi hajafungia kile kipengele cha Both teams to score
 
cheza magoli kaka. Mechi hazieleweki hizi.
Kaka mbona premer inanipa shida toka juzi? Nikiweka mkeka nlitaka kulipia wananiambia Error bet cannot be placed. Leo nimebahatika kuharibu mmoja umekubali bt huu wa pili umegoma imerudia vilevile. Nini suluisho hapa?
 
Hiz g
Stromsgodset v Sonderjyske Y
AEK Larnaca FC v Cliftonville FC Y
Osmanlispor FK v FC Zimbru Chisinau Y
Kama unataka hela chukua hizo mwanangu kabla Muhindi hajafungia kile kipengele cha Both teams to score

Ngoja nijaribu hizi wangu ... kama mbwai na iwe mbwai
 
Hehehehe ... hizi game za Singapore zote zimekuwa Interrupted boraa maana hali ilikuwa tete, Tampines sidhani km angefikisha goli mbili. Ngoja wachina wamalize nijaribu kuturbo

Kaka mbona premer inanipa shida toka juzi? Nikiweka mkeka nlitaka kulipia wananiambia Error bet cannot be placed. Leo nimebahatika kuharibu mmoja umekubali bt huu wa pili umegoma imerudia vilevile. Nini suluisho hapa?

premier wangese sana. mm mwenyewe hvyohvyo. GG ya italy imenipita hvihvi.
 
Hehehehe ... hizi game za Singapore zote zimekuwa Interrupted boraa maana hali ilikuwa tete, Tampines sidhani km angefikisha goli mbili. Ngoja wachina wamalize nijaribu kuturbo

View attachment 368789

Buddy inaonesha unakamtaji leo. kua mtulivu kaka. Maana hayo mamechi ya singapole hayaelewekagi. Tafuta mechi ambazo timu zinapambana ili zivuke hatua nyingine. Si umeona jana mechi za UEFA kila moja anafuta goli apite.
 
J
Kaka mbona premer inanipa shida toka juzi? Nikiweka mkeka nlitaka kulipia wananiambia Error bet cannot be placed. Leo nimebahatika kuharibu mmoja umekubali bt huu wa pili umegoma imerudia vilevile. Nini suluisho hapa?
Jaribu kubadili browser ....
 
Buddy inaonesha unakamtaji leo. kua mtulivu kaka. Maana hayo mamechi ya singapole hayaelewekagi. Tafuta mechi ambazo timu zinapambana ili zivuke hatua nyingine. Si umeona jana mechi za UEFA kila moja anafuta goli apite.

Mkuu hao waSingopore nlikuwa nmeshatupia tayari ... desa la Upendodaima. Sasa zimekuwa interrupted. Nliweka 10K tu ... bado natafakari kutupia 100K.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…