John locke
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 837
- 1,292
Daaah, zinaendelea aisee ... uuuwiiiiiiiiii, Tampines
Ngoja nikuingile msituni....Natafuta odds 4 pekee nazikosa
Bado bado aise hapa nadesa tu, kuna kiatu kizuri nimekiona town
Hahahahaha ... Wa Kusomaaaaaaa ... ww ndo unarudi mchezoni mdogo mdogo.
Mh! Odd 4 zote za nn Root?Natafuta odds 4 pekee nazikosa
Naona Europa inatembea na 2+
Tuko vizuri bado mkuu..... Mpaka sasa ..... Hofu kwa Vienna tu.....Hizi mechi zikitoa tu over 3.5 nimekufa
Ngoja niombe hadi saa sita usiku maana kuna wehu hapa
Mpumbavu stromso kapata la pili ..... Cha pili yasifungwe ma2Tuko vizuri bado mkuu..... Mpaka sasa ..... Hofu kwa Vienna tu.....
Tuko vizuri bado mkuu..... Mpaka sasa ..... Hofu kwa Vienna tu.....
Leo nimefurahi sanaNaona Europa inatembea na 2+
Leo nimefurahi sana