Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ninampango wa kukuza mtaji kwa ajili ya msimu ujao wa ligi. Nimebakiea na 12000/= tu. Naombeni odds 4 za uhakika nifufue uchumi jamani.
 
Sure mi pia nataka nianze kuvaa mabomu aisee ni mwendo wa single double au tri odd bas
Hii ngumu kumeza kwa sisi wenye mioyo ya plastic unaweza kufa kwa presha. Mi nikiweka stake ndogo nakyla nikisema nijiongeze parefu wanakomba faida yote mpaka na mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…