Hahahahaa...afu unatuita sisi makomedinz, afu mtu anarudi mikono mfukoni macho mekundu.
Kwanza cjui kafata nin huku angebaki hukohuko kwe jukwaa lao la mapenziKirusi mkubwa wewe! Ingekuwa kubet sio kazi ingeruhusiwa na serikali? Kahaba mkubwa!
Tumia iliyotoka na simuJamani msaada kujiregister premier. Nitumie browser ipi iliyo Poa.
[emoji39] [emoji39] hongera mkuu
kujiunga na mkeka bet unafanyajee[emoji12]ndio kanuni ya biashara.
Odd ngap hizo WakusomaHi!
Dinamo Zagreb
Bate
Nimeweka 2+Odd ngap hizo Wakusoma
kujiunga na mkeka bet unafanyajee[emoji12]
nilifaata mkuuThanks sana nisaidie 3+ za leo pia jana mikeka yangu yoote ilichanika isipokuwa ulo nipa wa 3+BET WON !!
Mkuu ulihitaji Odds 2, nikakupa hizo 5.42 ... km ulifuata hongeraa!!
Mkekabet wameweka both team to score ya Juventus 2.1 hii HT. Na dk za mwisho Tottenham kacheza mpira mzuri mimi naweka 50,000 nipate hela ya jioni
Kuna siku nikila vizuri nitakuwekea jero kwa akaunti yako, haya ni maombi yako ya jana kwanguOmg! Mungu awe nawe sir God hebu mwangalie huyu mja wako