Sedimentary
JF-Expert Member
- Jan 7, 2022
- 250
- 436
New castle jinga sana... yaan na everton wa kumchapa 3 kabisa?Namna gani pale Newcastle na Tottenham
Premier bet hawana limit amount ya win.Kampuni gani inayokubali ushindi huo?
Ipe over 2.5 goals, kama roho ni nyepesi ipo over 1.5 goals.Namna gani pale Newcastle na Tottenham
Everton ana trend nzuri ya ushindiNew castle jinga sana... yaan na everton wa kumchapa 3 kabisa?
Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi roseSio ww tu mm liipa over 3.5 kabisa
Oyooo ubalikiwe mkuu Wacha tuone hatima ya tren letu I wish litafika mwisho wa reli salama46FB3C | SportyBet
Huu mkeka nimeusuka nikiwa juu ya kifua cha mtoto wa kipemba
Weka ukoo wenu wote, kama huna stake kakope 🔞
Watu wengine..... Hata mkiliwa ni sawa kabisa!....Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose
Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala
Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94
Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
Naona alishinda Jana
Mkuu mtaji huu wote nataman niwe nao unauletea masihara....meme nifika huo mtaji mrusi atafurahia shoooBoss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose
Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala
Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94
Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
799AD76 edited
Jimixin kwa Tot bila kufatilia kuwa Westham ana mechi sita anashinda mfululizo yakukute badae ulalamike[emoji23][emoji23]
Sema sportybet Wana bonus tamu Sana mpaka naona betpawa ni ujinga tu46FB3C | SportyBet
Huu mkeka nimeusuka nikiwa juu ya kifua cha mtoto wa kipemba
Weka ukoo wenu wote, kama huna stake kakope 🔞