Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Watu mna risk kweli kweliBoss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose
Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala
Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94
Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
✅✅ BADO YANGA over 0.5 tumalizaneMsiseme sinajaambia:-
-YANGA:- over 0.5
Medeama niliwailona Mechi zao zoote,hawana uwezo wakuzuia kufungwa hata goal kwa mfumo wa Yanga.
- KITAYOSE over 0.5
Striking force yao kwa beki za Ihefu hawana nanna
- MASHUJAA vs PRISON over 1.5
Tukutane Saa tatu
EDITED BETPOWER 45B87F3EF65054
odds 6.53
BP
ngumu
ngumu
ngumu
kumeza
Leo napoli anakomaa anatoka drow amini usiminiNimerudi tena baada ya jana kulala na viatu, Newcastle na Shoga ake Tottenham kuamua kutanua miguu na kuchochewa
Acha tufe na Yanga ,,,,,, nimewapa 20Kumbuka wanachezea kwao
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] spurs ni mkuda , kanialibia tren langu Jana, la 6 sita yani?Nimerudi tena baada ya jana kulala na viatu, Newcastle na Shoga ake Tottenham kuamua kutanua miguu na kuchochewa
Ngoja tuwekeEDITED BETPOWER 45B87F3.
Yaani huwa nacheka sana... [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah ila humu ndugu Huwa maneno yenu yananichekesha sana. Ila sio kesi betting ni kisanga.
Seriously??una risk hela yote hiyo kwa ajili ya elfu kumi tena ndani ya dk zote 90???Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose
Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala
Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94
Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
Hongera kwetu Afisa nimepata elfu 50 ya mtaji wa kesho jumamosi yanga kanipa raha mapema japo Mie shabiki wa simba! Sasa hata afungwe mie hainihusu sahz✅✅ BADO YANGA over 0.5 tumalizane
F4BA814 BetpawaTumeni treni za maana