Haya mambo ya kubet haya siku nitakufa Kwa ugonjwa wa moyo, yani Nina wiki ya Tatu sipati usingizi Kwa kufatilia mikeka tu afu ajabu inachana, yani kulala kwangu ni asubuhi ya saa kumi na moja
Mkuu ushauri wangu kwako japo imani zetu ni tofauti katika betting.
Acha kuamini matreni na odds kubwa kubwa, ni vizuri kucheza matreni kwa stake ndogo, ila at least uwe na mkeka mwingine wenye odds chache na stake kubwa ambao una possibity kubwa ya kushinda.
Mfano tangu siku ile unadisi kuwa huwezi kucheza kwa laki kwa faida ya mbuzi, hizo laki kwa odds ndogo zimenipa faida ya 500,000+ kuna hasara gani ingali hii ni take home ya mwalimu degree holder monthly?
Hizo faida kubwa unazozitafuta unazipata? unafuu uko wapi kulala na 100K faida au na manung'uko kila siku? Badili aina uchezaji, jifunze ku lower expectations, acha kuchase loss, anza taratibu utafikia hatua nzuri kabisa.
Hii CODE ilikuwa humu ila hukucheza kwa kuwa unataka pesa nyingi, ungeweka hata 20,000 si ungelala na faida ya 20K nyingine? ni biashara ipi hapa duniani hurudisha faida mara mbili?
Sent from my M2006C3MG using
JamiiForums mobile app