Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nina mashaka na PSG maana wao wakilala wakaamuka wanaiwaza uefa sitoshanga Leo wakiwapumziaha wakna mbape kwa ajri ya game ya tarehe 13 kumbuka awajafuzu
Umeongea neno mkuu

Sio mara ya mwanzo,hizi zikiwa na Mechi kubwa basi jua surprise kwenye league ya Ndani inakuja.

Mie sijaibetia kabisaaaa,nimeiruka
 
Ahsee Leo ndonimegundua million moja na nusu niliokula betPawa Kwa mkeka huo huo ningekula million mbili na laki Sita sporty bet [emoji853], hawa wapumbavu nawahama right now sitabet kwao mpaka waweke bonus za kueleweka ni majizi absolutely [emoji35][emoji35][emoji35]

Mkeka wa odd 5000 uliweka buku tano betPawa unapata million 39 ilihali sport bet Kwa mkeka huo huo unapata million 61
 
Haya mambo ya kubet haya siku nitakufa Kwa ugonjwa wa moyo, yani Nina wiki ya Tatu sipati usingizi Kwa kufatilia mikeka tu afu ajabu inachana, yani kulala kwangu ni asubuhi ya saa kumi na moja
USHAURI:-
Ikifika hivyo basi upo kwenye athari kubwa mnoo kiafya na kiakili.

CHIDI Benz alikuwa anatamani mnoo kuwa kama Snoopy Dogy Dogy, hatimae mwenzie anavuta Bangi anakula vizuri yeye anavuta Bangi anakula mama Lishe kitaa,hatimae Umeme umehack ubongo.

Kuna kitu unakiforce au umesoma machapisho ya waliofanikiwa kwa kubet,na unaishi na ndoto zako unazolazimolisha ziwe kweli,na hapo Tayari kichwani una nyumba,magari na mambo teleee.Mbaya sana.

Epuka kucheza Mechi za South,Central and Northern America ambazo zinacheza almost usiku mzima mpaka Alfajir.

Pili,Usiwaze kubet Ili utoboe kimaisha,hapo ndio utapotea mazimaaaa.Ba Jingine kubwa usibet kisa fulani unaemjua kala milioni kumi,muulize alicholiwa.
Usibet huuku ukowaza shida zako na familia Yako.
Humu tunaoBET Matren woote ukipasia vichwa vyetu kujua tunawaza nini unaweza kucheka mpaka ukazimia.
Muhim,usiwe mtumwa wa KAMARI
Sie wengine ni waajiriwa but pesa ya Familia usiiguse kabisa kwenye KAMARI,Laana ya kuadhirika familia yako haitakuacha salama Mdau,Amini hilo.
Mostly bet from other extra sources ambazo unazitengeneza,Mie out ajira nina banda la Chakula Nimetenga Mzigo Faida yake niBET tuu.Yaani unakuwa relaxed mnoo.
Ila kama Mshahara is less than 700,000 ukabetia,baba unajimaliza.Utakuwa unaomba advanced Salary kila mwezi.Unless uwe under 25 hapo kidogo but age goes up.

Pole Sana but try to change mzuka of betting..

Nakula siri iliyo dhahiri na ushuhuda:-
TunaoBET wengi wetu hatuna muda wa kukaa na kupanga Maisha na wenza wetu,hata kutamaniana ni kwa muda mfupi mnoo.We are very busy kufuatilia Mechi.
TunaoBET wengi hata Dem wako akichepuka basi wala huwazi,yaani wivu umetupotea mazimaaaa,maana Maisha ya kuchepuka ndio tumeozea huku kwenye Betting,ukiangalia Dem wangu Fc Porto nilimuambia na kachepuka,Kula Tanga Dem wangu Man City kachukuliwa na Bodaboda.
Sasa tupo so neutral

Hapa tu nakuambia kwa Mechi za leo,kuna Jamaa hapa mtaani anauza TV akiamini leo pesa Ipo.
Hapo ndio tumepofikia.Ukifuatilia akili inavyomtuma,ni kwamba leo mechi laini na atatoboa na atanunu zaidi ya ile.

Bodaboda asilimia 90 wameingia huku,na wengi wao mpira hawajui wanategemea mikeka ya kupeana wao kwa wao.Mfano wale wa CHANIKA- DAR mnanielewa maana huku ni Janga,kila siku matajiri wanachukua bodaboda zao mrejesho hakuna.


PESA ipo on Betting but tuBet kiuungwana na Tuliinde mnoo familia zetu na tutenge muda na Wake zetu hasa watoto wetu.Kipato cha Kula Familia yako usiingie kwenye Betting Laana ya aibu na kuadhirika familia yako haitakuacha salama.
 
Bet pawa nyoko zenu, hamuipati hela yangu tenaaa, kwahiyo nyie mnataka muwe mnakula tu ila kupata loss hamtaki, yani kipigo mlichochezeshewa Kwa wiki za nyuma tu tayari bonus na reward zote mmetoa, mna hasira, cash out mnaleta mbovu, mnaweka makufuli dk ya hamsini tu, mfumo wenu umekuwa wa kuvizia ili tu ule pesa ya client.

Sasa mumeula wa chuya hamnipati tena wehu nyie..
 
Tatizo system ya sport bet ipo too complicated Sana kuliko bet pawa
 
Duuuh mkuu yote uliyoongea upo sahihi khabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mshikaji wangu nafanya nae kazi mwezi uliopita amebutua million 60 afu aliweka buku tu, tangu sio hiyo hata nikila million mbili huwa naona ndogo hata kuitoa siitoi kwenye wallet.. Sasa mbaya zaidi yote inarudi Kwa Kanji hapo naanza kubetia pesa zangu

Uzuri pesa ninayo japo ya kawaida sana ila pesa kubwa Kanji ndoanazifaidi.. Kwa mwezi asilimia 80 ya kipato changu huwa analamba kanjibay japo mikeka yangu ni ya million kumi to above ila nitampata tuu

N. B. Ipo siku BBC watanifata nilishindaje kumbe nyuma ya hili nimepitia maumivu mazito

Mwisho : Nina mwezi wa tatu Sasa sidindishi na Wala sipati njaa hata siku nzima mda wote unafatilia mikeka, ukichana unaweka mwingine [emoji23][emoji23][emoji23]
 
CHAI IMEZIDI TANGAWIZI MKUU
 
unasaka sana umaarufu JF mkuu
 
kweli kabisa kwa mfano mimi nabet kwa pc option ya kusearch hamna kabisa
Ni kweli user interface au mwonekano wa SportyBet sio rafiki sana kama BP

Hata mimi mwanzo ilinipa shida sana lakini nikawa naifanyia mazoezi mdogo mdogo baada ya kuona hujuma za BP za kuchelewesha malipo na kupunguza Bonus

Mazoea huwa yanajenga tabia!
ukiizoea SportyBet utaipenda sana na utaisahau BetPawa mazima
 
Hii ni siku ya kwanza kuingia na ku comment kwenye huu uzi..
Huwa siamini kwenye Gambling... But nipeni mwongozo nimejisajiri kwenye Meridian Bet leo nimeelekezwa namna ya ku deposit mpunga. Nimeweka kama 20,000 yakuanzia nipeni mwongozo wa hii sekta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…