Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya tuition ya kufungua account na ku deposit kwenye premier sasa nimefanya microphone test kama ifuatav

Hizi mechi za kirafiki ni shidaaaa... Yani hapa nacheki game ya Koln v Bologna ....koln alikua kaitawala mechi mara kocha anafanya sub 8 kwa pamoja......hahaaaahaaaaaaaa hizi mechi za kirafiki zingine sio
 
duuuuh halafu nimempa hela yangu huyu... hivi hawajui kama watu tunabet huku??
 
Hizi mechi za kirafiki ni shidaaaa... Yani hapa nacheki game ya Koln v Bologna ....koln alikua kaitawala mechi mara kocha anafanya sub 8 kwa pamoja......hahaaaahaaaaaaaa hizi mechi za kirafiki zingine sio
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ila Kanjibah muda mwingine awe na huruma jamani, yani kaichukua hata ya "Microphone Check" ... daah, Hahahah
Sio mbaya najua ni huyo mkuda mmoja atakuwa ameharibu. Weekend ndio naingia kazini rasmi option zangu zitakuwa mbili tuu under 2.5 first half na droo katika 10 minutes. Nitakuwa ninacheza timu zisizozidi 10
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mjomba ndio nlikua naitafuta inplay nicheze mara nasikia eight substitutions to be made by the coach, for sure keeper will stay the other two we don't know...... Dooooh nkatulia kuangalia sub 8 .... Nkasema asante Mungu nkatulia
 
Mjomba ndio nlikua naitafuta inplay nicheze mara nasikia eight substions to be made by the coach, for sure keeper will stay the other two we don't know...... Dooooh nkatulia kuangalia sub 8 .... Nkasema asante Mungu nkatulia
[emoji2] [emoji2] pole mkuu naona huyo coach alikua amekula cjui maharage ya wap aiseee
 
Sio mbaya najua ni huyo mkuda mmoja atakuwa ameharibu. Weekend ndio naingia kazini rasmi option zangu zitakuwa mbili tuu under 2.5 first half na droo katika 10 minutes. Nitakuwa ninacheza timu zisizozidi 10
Droo dkk 10 Leo ni Zagreb ndio wamevunja.....mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…