Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,186
- 3,308
Yaaani hako ndo kamkeka Kangana kilichosalia nakapigia duwaaa Kila time nachungulia chini ya maji mtubwi usije ukapinduliwa na kibokoBora wewe umeona Hata cash out wengine mikeka yote tuliambiwa cash out unavailable
Mi nilikuwa na mmoja tp mazembe na mwenzake wameona washindwe hata 0.5 ili mradi na wao wahusike katika kumchangia kanji siku ya Leo..Yaaani hako ndo kamkeka Kangana kilichosalia nakapigia duwaaa Kila time nachungulia chini ya maji mtubwi usije ukapinduliwa na kiboko
LINKWadau kwa anae jua app inayooneaha game za EPL live nataka nione kama ntaona game ya arsenal
Dortmund kupata goli kapewa odd 2 turudishe mitaji iliyoliwa leo weka lakin3 upate laki 6
Hata kama ana redcard atapata goli trust
Aah wapSitak marafik siwataki mi [emoji23][emoji23][emoji736][emoji736][emoji736] hela aliyokula bayern imerud
Hii picha inachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jaman kubet sio kaz hamskii tu
Tayar hukoBaada ya kupata draw spania (Madrid)
Kichapo kikatembea england na German (man u_ Bayern Munich)
Wacha tuskilizie Italia kutatokea Nini
(Ataranta vs ac Milan)
Tukutane mida ya matusi lasmi
Achana na vitu visivyo na msingi ingia play store andika live aport HD kisha download utaona mechi zotePlaystore naona zipo nyingi sjui itakuwa ipi kati ya hzView attachment 2837842
LIVE SPORTS HDAchana na vitu visivyo na msingi ingia play store andika live aport HD kisha download utaona mechi zote
Aston villa + Girona wana jambo lao huu msimuArsenal kapakiwa mkongo
Ila hii game ya villa na arsenal ilikua inaeleweka kumpa villa afunge goli alikuwa na 1.40Aston villa + Girona wana jambo lao huu msimu
Aisee leo, kama ni mchicha basi tumemiksiwa na UDUVI
Siku ya leo tuliiijia race mno tukizani bia kumbe ni KONYAGIWajomba tumechezea kipondo sio poa.