Maheshiyaq
Member
- Apr 5, 2023
- 73
- 73
Shukran imetoa tuko pamojaProject Bombay 01: Day 10 Updates
Asante Tottenham Hotspurs kwa kunifanya nifunge mahesabu mapema kabisa. Sasa hivi nakaa na ku enjoy football, mambo ya presha za mikeka ni mpaka kesho tena.
Sheet
View attachment 2838916
Graph
View attachment 2838917
Kauli mbiu ya leo: Maisha bora kwa kila mkamaria.
Hiyo pesa hesabu maumivu......Wazee nisaidieni nimedeposit pesa 1xbet kupitia Selcom duka direct.1xbet wameniletea ujumbe kuwa deposit yangu imekuwa rejected by operator.Nimekatwa pesa yangu m_pesa na hawajanirudishia.
mfano betpawa walikuwa na kila mechi inaBonus kama zipi unazouliza?
Kama una laki mpe Liverpool ana point saba saizi, niamni mm come back Kwa dk zilizobaki ipo na zaidi ya goli mbili
Ilikuwa sportpesa kakaUlituma kweli mkuu? mbona codes za huklmu huwa nadaka sana ila hiyo sijaona?
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.Uzuri bet power mfumo wao ni friend user compare kwa nyingine zote zilizobakia zipo complicated sana tunatamani kuhama maana hata odd wanapunja sana compare na wengine ila huko kwingine interface zao ni ngumu sana kutumia
Jaribu kupiga 0800714888Wazee nisaidieni nimedeposit pesa 1xbet kupitia Selcom duka direct.1xbet wameniletea ujumbe kuwa deposit yangu imekuwa rejected by operator.Nimekatwa pesa yangu m_pesa na hawajanirudishia.
Sportybet Wana interface SIMPLE and clear, haichoshi na ipo too direct and visibility yake ni nzuri....SHIDA YA SPORTYBET NI KUFUNGA GAMES UNAPO WISH KU CASH OUT.....NA PIA TIMU IKISHINDA HUCHELEWA KU UPDATE KWENYE MKEKA.Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.
Ni wewe tu na flexibility yako ya kucheza na options. Sportybet unauwezo wa kubet mechi za siku husika tu kwenye ligi kubwa n.k
Mkuu jizoeshe utakuja kushukuru humu. Ni mazoea tu ndio yanakufanya usitoke betpawa.
Mwanzoni hata mimi nilikuwa naitetea betpawa kwa point hiyo ya user friend. Na nilikuwa nasikia uvivu sana nikiingia sportybet au betway kusuka mikeka. Nikajilazimisha kuizoea sportybet, aisee ukiizoea sportybet ni user friend kuliko hata betpawa.
Ni wewe tu na flexibility yako ya kucheza na options. Sportybet unauwezo wa kubet mechi za siku husika tu kwenye ligi kubwa n.k
Mkuu jizoeshe utakuja kushukuru humu. Ni mazoea tu ndio yanakufanya usitoke betpawa.
Hongera.. bonus lazima aisee. Omba msiwe wengi ili upate pesa nzuriWakuu jackport ya sportpesa nimewin 13 out of 17 kuna bonus hapa?
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]Kuweni Makin na Barcelona Leo
Msije mkasema sikuwaambia
Options Bora ni GG au draw either one half
WON [emoji736][emoji736][emoji736][emoji91][emoji91][emoji91]
KILA 50K ALIYOKULA KWENYE HUU MKEKA JANA ATAILIPIA MILIONI MOJA, BADO NAMDAI 2M HAIFIKI JUMAMOSI AMETEMA YOTE [emoji122]Leo ni leo, asemae kesho muongo[emoji23]View attachment 2838068
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app