Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
Hapo unyamaYaani Al Nassr anacheza na Al Shabbab kwenye Kings Cup mtoano
Sasa Al Nassr jana akipewa odds 2 na points leo zikashuka 1.72 mpaka 1.69
Sasa nikajiuliza Al Nassr kwenye Mtoano afungwe na Al Shabbab?
Nikaripuka Direct Win
View attachment 2839843
Hapana mkuu nipo sawa sija mind wala kususa, sote tunatafuta, adui yetu ni Kanji sisi sote humu ni ndugu na marafiki. Mikeka nitashare kama kawaida, leo sijacheza team hazieleweki.Sorry bro sikujua kama utamid mimi huwa napenda kutania samahani sana sito kutania tena, usipo tuma codes utatufelisha wengi maana wengine hatujui hata kubeti kazi yetu ni kuchukua codes tu
😂😂😂Betpawa wanatupia post za wahuni waliowapiga,kwenye page yao ya fb, hivi kweli kampuni inaweza kufanya mchezo wa kutuzugia, 🤔🤔
YesHapana mkuu nipo sawa sija mind wala kususa, sote tunatafuta, adui yetu ni Kanji sisi sote humu ni ndugu na marafiki. Mikeka nitashare kama kawaida, leo sijacheza team hazieleweki.
One love[emoji106]
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Daah we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji445][emoji445] Kazi na dawa!
Kula dundo hizo .. kupooza Ze Maumivuz!
Mbilia bel anakawambia " papaa ya mbongo te nzambe ya mobali" in lingala... Akimaanisha...
" Nilifunga ndoa ANGANI na yote yanawezekana, kupitia betting hata wewe unaweza fungia ndoa ANGANI! (Kwenye ndege, mawinguni)"
[emoji445][emoji445]
Kula vitu!!!
Ahsante kaka kwa kunielewa nitajitahidi kutokuambia maneno yenye dhihaka na nitaendelea kufuatilia mikeka yako japo nina mtaji wa 10k ila ninaamini mdogo mdogo mtaji utakuaHapana mkuu nipo sawa sija mind wala kususa, sote tunatafuta, adui yetu ni Kanji sisi sote humu ni ndugu na marafiki. Mikeka nitashare kama kawaida, leo sijacheza team hazieleweki.
One love[emoji106]
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Bora girona mi naona Leverkusen yupo karibu na kombe kabisaWazee wazee msimu huu Girona anaweza beba ndoo ,
Mdau sijakupata vizuri.Hapo unyama
Ivi nikuulize ukiwa una stake mkeka unatakiwa uchague odds kuchanga ama unaondoa tiki ya odds kuchange?
Mdau sijakupata vizuri.
Ila kama odd changes inakuja ni bora kuchagua changes,maana hata usipochange itabadilika tu
Hiyo ni kukusaidia wewe kujua mabadiliko ya odds either imeshuka au imepanda.
Nikama notice vile, sometimes unaweza kukuta odds imeshuka ukajuta bure,so wanakueka change Ili uamue
Kama hapo kwenye "accept odds change"
Sawa nimekuelewaMdau sijakupata vizuri.
Ila kama odd changes inakuja ni bora kuchagua changes,maana hata usipochange itabadilika tu
Hiyo ni kukusaidia wewe kujua mabadiliko ya odds either imeshuka au imepanda.
Nikama notice vile, sometimes unaweza kukuta odds imeshuka ukajuta bure,so wanakueka change Ili uamue
Hiyo 20 yenyewe umesha ila?Wakuu kwa bong0 ni betting site gani unaweza win mpaka mil 200 payout. Maana nimejaribu kufatilia % makampuni yote ya kubashiri hapa nchini malipo mwisho ni mil 20. Imagine!
kabooooooooomARARAT OV 3.5
MAXBET
3.45
Sijui watu wakoje yaan. I hate tabia ya kuhusisha wazazi kwenye mambo yasiyo maana. Ni utovu wa nidhamu tu yan.Babaako was unnecessary. Kama kweli ulitaka kuonesha msisitizo si at least ungemwambia humo ndani hachezi yeye.
Hiyo 20 yenyewe umesha ila?
Heavy use we mzoefu wa Betting,usiwe na Jazbaaa mzee babandiyo usenge wa sportybet, naye ni muoga kama betPawa. anablock baadhi ya markets. ni kwasababu tu sina salio 1xbet. 1xbet hawabani markets kiboyaboya.
View attachment 2839847
Humu ukichukulia serious kila kitu... Hukuwezi... Humu Kuna mida ya kupunguza stress ili maisha yaendelee...Sijui watu wakoje yaan. I hate tabia ya kuhusisha wazazi kwenye mambo yasiyo maana. Ni utovu wa nidhamu tu yan.