Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna wakati unafanya kazi harafu unaambiwa, " we nanilii tulia tu kazi zipo kwani umeshafanya kazi, hapa utafanya kazi mpaka ukimbie" πŸ˜…πŸ€£ sasa ndo hii, betting
 
Mkuu kwenye live napenyewe ni kichomi nmepigwa mno unakuta timu inaongoza 3-0 unaweka mzigo wa maana linakuja kuswazishiwa
 
Mimi kipindi naanza mwaka jana kubeti nilifundishwa na jamaagu namuitaga Mo salah hazikufika hata miezi miwili nikampiga mhindi ml19 kwa buku keka la mechi 30

ile pesa niliitoa ml2 nikaiacha kwaajiri ya mtaji ikaisha yote, napenda kubeti singo kwa kipindi kifupi tu

Simba amesepa na 700k alivyokua anacheza na Namngo
City
 
duh!
kweli betting nyoko, kila market unayogusa haina unafuu, siyo corner, fouls, shots, wala enhanced specials, utashinda mara chache utaloose mara nyingi. single match ya odd 1.01 inachana, rollover ya odds 1.3 nayo hufiki hata mbali, siku 2 tu chali. programme ya 2 odds nayo siku ya kwanza tu inachana. matreni ndiyo kabsaaa!, kwa mwaka yanawin mara 2 au 1. kwenye virtual, casino na inplay nako utashinda mwanzomwanzo, baadaye ni vichapo kwenda mbele.

ukiwa na mtaji mkubwa ni sawa tu na wa miamia, daily vichapo. tuliodumu kwenye betting ndiyo tunajua hilo, no sure in betting. nashangaa anakuja mtu anatamba kuwa yeye ni nouma na ngonjera kibao, tunamwangalia tu, tunajua atajionea mwenyewe. baada ya siku 2 utaona zzzzz kanyamaza. na wale wa kujisifu codes zao zikitiki kana kwamba wao wanajua kubet kuliko wote, kujisifu kwao kunakuwa kwa siku 2 tu, siku zinazofuata vichapo. hali halisi wanaijua wao kwenye bet history zao.

kubet hakutaki mbwembwe wazee.
 
Siwezi kukukatalia mawazo yako kama utaweza kuacha acha tu boss

Mimi kipindi naanza kubet msimu uliopita nilifundishwa rafki angu mmoja napenda kumuita Mo Salah wiki mbili hazikuisha kuna mkeka tulisuka wa mechi 30 tukampiga mhindi mimi ml19 kwa buku Mo salah ml39

Ile pesa nilitoa nikaacha ml2 ya mtaji uliisha msimu pesa ikaisha msimu huu nakula kidogo kidogo sana rakini loosi

Simba v Namngo losi 700k
City v Liverpool losi 500k
Arsenal v Astonvilla losi 300k
Man U v Bayern losi 300k

Hata mimi nmeshachoka ila nikama nmerogwa tu
 
Ulikula mil 2 kwa 500 alafu unakata tamaa??? alokwambia uanze kuweka stake kubwa odd chache nani???
 
.⚽ Thursday Betting Tips ⚽

🌍 Union St. Gilloise πŸ†š Liverpool FC
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣

🌍 Stade Rennes πŸ†š Villarreal CF
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🌍 Bayer Leverkusen πŸ†š Molde FK
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🌍 Zrinjski Mostar πŸ†š Aston Villa
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣

🌍 West Ham United πŸ†š SC Freiburg
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🌍 Ajax Amsterdam πŸ†š AEK Athen
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🌍 Brighton & Hove Albion πŸ†š Marseille
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🌍 Rakow Czestochowa πŸ†š Atalanta
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: βœ–οΈ

🌍 Sporting CP πŸ†š Sturm Graz
πŸ•‘ Thursday, 14.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣ 2️⃣ DC

βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
 
Sio mbaya nami nimeambulia. Tunaondoa gundu kumbe kanji anapigika.
Hiyo elf 11 uliyokula kwa jero . Mkuu inaonekana ndogo sana kwa odds 19... But ni pesa nyingi sana kimkakati...

Kula odds19 sio kitu kidogo!

Ukitaka kuona sio kitu kidogo.... Weka laki! Kwa hizo odds 19! Uone moto!... Kama kuna mtu ana kifua...
Wingi ama uchache wa odds... Huonekana pale stake inapoogezeka....

Nna code ya odds19 kama hizo... But ni saa la pili nimechanganyikiwa nizipunguzeje!?....

At least zibaki 8 kwa mzigo nnaotaka kuutupia!... Jasho linanitoka!

Nazigawa kuwa code 2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…