Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii mechi ya Southampton u21 na mwenzake derby u21 ingenitoa roho bila gg..Yan over 2.5 ilikua ina odd ya 1.11 na mpaka sasa bado dk 10 ni 1-1, odd ndogo uchawi tuu.
Kuna jamaa alishauri ile alternative kwenye options naona ni nzuri kiasi
Hizo mechi za women na under XX years binafsi huwa naziona ngumu zaidi kubashirika
 
Hizo mechi za women na under XX years binafsi huwa naziona ngumu zaidi kubashirika
Kwa ujumla match za woman na youth hazielewek mkuu mm sipatani nazo kabisa.

Nahis muda si mrefu nitahamia kwenye basketball [emoji459]

Maana huku unakuta unampa mtu over 0.5 wanatoka 0-0 na magoli makubwa kabisa

halaf basketball mwanangu vigoli vidogo halafu viko juu watu wanafungana vikapu hadi 200 Bora nikacheze over basket [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa vile sisi sote kwenye huu uzi adui yetu ni mmoja tu. Ni vyema tusipoteze target, adui yetu ni mmoja (kanjibai) Tumtazame adui tu na tushirikiane kumkabili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…