SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,049
Pia huyu jamaangu yuko wapi Ibudigitalπππππ
Mwenye kuacha betting au kupumzika hasemi.
Matee alikuwa ana Stake mpaka 250,000 kasepa kimyakimyaaa
Duh umeniongezea mbinuRaha ya kucheza option ya (direct win or GG) inakuja pale unapoangalia matekeo Live unakuta zile timu ulizo ipa hiyo option zinaongoza π .....hapa unakua unajua kabisa uhakika kwasabab ili timu pinzani ishinde au i draw basi inabidi isawazishe, which kimantiki itakua teyari ishatoa GG kwahiyo unakua umeshinda pia π
Kuna mkeka mmoja wa live nilimtia celtic wakati anaongozwa moja bila alikuwa na odds 1.62 nikijua atachomoa na kushinda maana last week kapigwa wakat naendelea kuchagua team zingine mara akapigwa chuma cha pili nikaona eeeh isiwe tabu nikamtoa kabisa....Msiwalaumu wakina man city au atlentico Madrid, hizo mechi zilikuwa ngumu shida inakuja kwa Celtic ule mtego ata mimi ningeuingia tu kama ningebet leo
Kesho imefika leta mkekaNilihisi ukakasi kwa Barcelona baada ya Vipigo vya Mbwa wa jiini waliochana .
mkeka wa kuamkia nikaona nimpe CORNERS tu,na zimetoka za kumwaga
Acha nisubirie kesho kama mkeka itaendelea kuwa salama
View attachment 2844475
ππππHeri wewe 15,000/=. Mimi niliambiwa niweke Mke. Hivi Sasa yuko kwa Kanji.
Kwa uzoefu wangu humu code zenye kuja na mbwembwe Kam hizi, game ya kwanja tu au ya pili tren huwa chaliii sijui hata ni kwanini.??Wakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa πͺπͺ 4064B1F Sporty bet π
Hakuna cha mbwembwe Safina hilo hapo limetengenezwa likatengenezeka we utachagua upande au usubiri mafuriko ufe ππ!Kwa uzoefu wangu humu code zenye kuja na mbwembwe Kam hizi, game ya kwanja tu au ya pili tren huwa chaliii sijui hata ni kwanini.??
Apande au asubiri mafurikoHakuna cha mbwembwe Safina hilo hapo limetengenezwa likatengenezeka we utachagua upande au usubiri mafuriko ufe [emoji1][emoji1]!
Ikawe heri kwetu ππΎWakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa πͺπͺ 4064B1F Sporty bet π
Nimeichukua hii kama ilivyoWakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa [emoji123][emoji123] 4064B1F Sporty bet [emoji120]
Safinaπngoja tupandeWakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa πͺπͺ 4064B1F Sporty bet π