Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Atakaemfata Bayern leo anabet kwa kufata timu hajui mpiraa...
 
Kanji kanji utatutoa rohobwakati wahuni tumemis hela ya weekend
⚽ Sunday Betting Tips ⚽

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal FC 🆚 Brighton & Hove Albion
🕑 Sunday, 17.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Brentford FC 🆚 Aston Villa
🕑 Sunday, 17.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 West Ham United 🆚 Wolverhampton Wanderers
🕑 Sunday, 17.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Liverpool FC 🆚 Manchester United
🕑 Sunday, 17.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🇩🇪 Bayern Munich 🆚 VfB Stuttgart
🕑 Sunday, 17.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🇫🇷 Lille OSC 🆚 Paris Saint-Germain
🕑 Sunday, 17.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣

🇮🇹 Lazio 🆚 Inter Milan
🕑 Sunday, 17.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣

🇪🇸 Real Madrid 🆚 Villarreal CF
🕑 Sunday, 17.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
 
Yaani kuna watu kabisa. Ndio washauri wakubwa wa wenzao, na mnaiongelea hii code. Hii code ni kupasuka live.
tunawaheshimu.
Iache hii code kama ilivyo msiisupport mkiicheza inatosha.
 
Hello, karibuni wakuu, nawasalimu kwa jina la muungano.

Well me ni binti , but hua na bet pia (wanaume msishangae cas mmezoea ninyi tu) well hus nabet na nimefanikisha vitu vingi tu kwa hilo.

Sasa me takus nawaletea few odds kila siku na 90% ni good, jaribu bahati yako, nazitoa mahali flani pa uhakika mzuri, hivo jaribu, ni free tu, maybe utake kunipa tip ukishinda, note, ni ods chache saba maybe 3, 4 or 6.

God bless everyone na ukawe unavotakw inshalah.
 
Hii code, mechi 5 ziko perfect kabisa... Zimeniinsire kusuka code kupitia hii code...

Ntabadili markets kwa timu 4 ... Ikiwemo ya Sigma na PLEZEN inaenda kwa GG labda, na sio kumpa Sigma mazima No!
Sigma nimempa ashinde first half mkuu kwenye Hyo code sababu tu plezen haelewek kwenye mechi za ligi kuna mda anafanya vizuri na kuna mda anapigwa tofauti na kwenye Europa huko anakiwasha sana
 
so kwa leo try this first.

Puskas akademia vs Mozokovesd - Home win.

Legia Warsaw vs Cracovia krakow - Home wins either harf

Spartak Trvana vs Zemplin - Home win

Rakow Czestochowa vs Korona kielce - Home win either half.

Union ST Gilloise vs Kv mechelen - Home win.

5.02 Odds

Good luck.

Bet kampuni yako yoyote ile ndo mana siweki kampuni nayotumia, just any.
 
Yaani kuna watu kabisa. Ndio washauri wakubwa wa wenzao, na mnaiongelea hii code. Hii code ni kupasuka live.
tunawaheshimu.
Iache hii code kama ilivyo msiisupport mkiicheza inatosha.
Hyo code ina ubaya gani mkuu kama jana Man City mwenye uhakika kadroo na celtic naye mwenye asilimia 90 kapigwa bila kutoa hata goli moja! Haya mpe Madrid win or draw, arsenal win or draw, liver win or draw, Bayern win or draw, Milan win or draw tuone kama utakula! Nakuhakikishia bado Mkeka utachanika tu na odds hazifik hata mbili hapo! Safina hiyo hapo panda na sh 300 sio mbaya hata ukiliwa mia tatu kwa kujaribu sio tatizo kama ukiicha na badae usiku kuona wenzako wanacheka na milion za kutosha
 
Afu jioni unakuja kulia lia kwa hizi prediction 😅😅😅
 
Atakaemfata Bayern leo anabet kwa kufata timu hajui mpiraa...
Huyo Atakuwa hajui sayansi ya mpira wala kujua kusoma Alama za nyakati!...

Stuttgart, Girona, Leverkusen... Hawa Wana pepo yao ya kipekee huu msimu...

Hizi ni pisi Fulani Kali!...za moto!... Halafu hazinaga mambo mengi!
 
Huyo Atakuwa hajui sayansi ya mpira wala kujua kusoma Alama za nyakati!...

Stuttgart, Girona, Leverkusen... Hawa Wana pepo yao ya kipekee huu msimu...

Hizi ni pisi Fulani Kali!...za moto!... Halafu hazinaga mambo mengi!
Masseille naona naye anakuja kuja vizuri hasa akiwa home
 
TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...

Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja

Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet

Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi

Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine

Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]



Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
 
Duh! Pole sana.
 
Pole sana,sisi bado tunapambana na kanji hadi pumzi ya mwisho
 
Safari njema mkuu atimaye patel amekurudisha shamba, mimi sikubali nipo nae bega kwa bega, toka 2017 mpaka leo niko nae tu piga nikupige 😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…