Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Doh sema pesa ndefu afu ata ukishinda faida kidogo lazima uchanganyikiwe
 

Mhhh😳😳😳 kumekucha
Yote haya kayataka Manchester City

Leo tutasikia mengi humu

Pdidy upoooo,mwenzio huyu
 


Dah Aisee pole Sana, ila man city na bayarn ni Bora kuwapa over 0.5 ni safe zaidi
 
Pole sana aisee bora uache maana bet is not for every one.
 

Pole Sana Mdau

Nakushauri usikae na wenye kucheza KAMARI, otherwise huchomoki.

Na hii unatokea saana,ukiwa huna Pesa unakuwa na mipango na options kibaooo za betting,ipate sasa ndio utaona masnema yake.

Kila la Kheir
Sisi na Kanji tunakupenda ila Wojovu wa Bwana umekupenda Zaidi
 
Huwezi amini, imenilazimu nianze kukuchunguza post zote ulizowahi kuandika JF na nyuzi ulizochangia mara nyingi zaidi.
 
Leta madam
 
We kanji njooo huku wana wauliza kanji jana umepigaje hapo? Last wiki ilikuwa mara ya mwisho kufanya betting , nilipobutua M 28 , nikaona kanji anapigika mpk leo nipo piga nikupige
Tupe screenshot ya 28 hiyo tujifunze
 
huu ni msiba wa kitaifa
 
jaman betpawa saiv wameanza kautundu,,sijui ndo kurudisha hasara walokula,,ukideposit kamkeka ukikaa dakika chache tu, ukitaka kucashout unakuta stake imepungua halaf hata mechi hazijaanza..me naboyeka saana
 
Mechi nyingi karibia na Xmas kwa Miaka 6 sasa zimekuwa na suprize nyingi sanaaa, UnderDog wanawashangaza wakubwa

Tusisahau hilo. All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…