Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hii ni addict,
unastake 200k upate 225k kweli?
hapa ukiliwa ili urudishe hasara yako itakupasa ushinde mikeka 10 mfululizo ndio unarudisha pesa yako.......

risk ya kuliwa ni kubwa kwa 1:10.......
 
hii ni addict,
unastake 200k upate 225k kweli?
hapa ukiliwa ili urudishe hasara yako itakupasa ushinde mikeka 10 mfululizo ndio unarudisha pesa yako.......

risk ya kuliwa ni kubwa kwa 1:10.......
Kabisaa kiwango cha kula atleast kiwe reasonable ukiringisha na hela uliyoweka sijui lini watu watakuja kuelewa hamna sure odds hata odd 1.08 inachana tu! Wote tunabashiri lakini kuna watu huwa wanajitakia tu kuliwa! Kwa hzo odds hata ukimla kanji mara kumi na yeye akakula mara mbili tayari wewe una hasara kubwa sana ya asilimia mia moja! Tuangalie hela tunayoweka na tunayotarajia kupata angalau viendane
 
[emoji23][emoji23] huna huruma wewe matamanio yako ni ikombwe yote au sio
Mkuu, mimi huu mwaka tu nishakula loss zaidi ya uyo jamaa mpaka nilitangaza kuacha kubeti ila kwa sasa nimerudi kivingine kwa strategy mpya.

Unaona iyo balance apo juu? Mara ya mwisho kudeposit sikumbuki maana ikikikaribia kuisha nairushia kindege napata mtaji
 

Attachments

  • Screenshot_20231217_151446.jpg
    192.7 KB · Views: 22
Sasa hivi unacheza kuondoa arosto tu (withdrawal symptoms).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…