Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Punguza hasira hiyo ndio betting.
 
Mie nashaur mtu kama una presha uachane na kubeti wewe uwe mshauri tu, vinginevyo utakuja kufa cku moja umejilipua uhakika alafu mambo yanagoma. Nimetia 30k ikaliwa yote afu nkajaribu wa jero nkala mia nane daaah
Mhindi ni kama demu mkali ...unapojipanga kwenda kumtongoza ndio unapigwa vibuti vya kutosha... Ila ukasema ngoja nimjaribu huyu demi kama atakubali ndio anakakubali
 
I'm back na new season 2016/2017
PSG[emoji818]
PSV[emoji818]
DYNAMO KYIV[emoji818]
DINAMO ZAGREB[emoji818]
BARCELONA[emoji818]
SLOVAN[emoji818]
STEUA BUCAREST[emoji818]
Stake 10000/=
Total return =115254/
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 


Mimi juz kati Bentleigh Greens ya Australia ilininyima hela dk ya 95 (yani dk ya 5 ya nyongeza). Ikabidi nicheke tu.
 
Nacopy kama ulivo
 
second half goals II1-2 i took 2 0r 3 teams then put a little stake at each
kanjibahi lazima akae hii ni baada ya kukosa pesa kisa timu moja kuzngua ... filtered game @ meridian that will play within 3hrs
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…