turbo maana take nn na hiyo huduma inapatikana kampuni gani msaada tafadhali
Kuturbo maana yake ni KUCHUKUA fedha kwa ANGALAU TIMU TATU zitakazoshinda kwenye mkeka (vigezo na masharti kuzingatiwa). hii huduma inapatikana kwenye kampuni ya Meridian tu.kuturbo maana take nn na hiyo sins inapatikana kampini gani
thanx nimekusoma vzrHii huduma ipo Meridianbet Chief ... inakupa nafasi ya kukatisha mkeka km mechi nyingine hazijaanza kucheza. Mfano umebet timu 10, halafu 6 kati ya hizi ukawa umeshinda na unasubiri mechi 4 zichezwe, unaweza kukatisha na kuvuta mpunga. Lakini masharti ni yafuatayo ...
i. uwe umeshashinda timu 3 ama zaidi kwenye huo mkeka unaotaka ku-turbo
ii. mechi zilizosalia zisiwe zimeanza kuchezwa.
wako vizuri eeh?kimsingi trend ya hawa jamaa naielewa sijui wanatumia calculation gani hawa
Km kwa cm download app inaitwa tapatalk halaf wa follow jf ! Inakuwa rahc ku2matumia desktop mode utapata option ya kuattach kwa wap style hata mimi nilishindwa lbda kama kuna mautundu zaidi ya app ya jf
View attachment 377640
What a way to complete a weekend ! ... nimefurahi kulipa kodi 100K leo, teh teh teh
#HataKwaKololoInawezekana
Mzee mwenzangu naona umetembea haswa, Timu 21 kuzibashiri si mchezo. Hongera yako. Naona umefungua ligi vyema. Sisi wengine tunasubiri wiki ijayo tuingie rasmi mzigoni.
Kokoro katika ubora wake ! Umetisha buddy[emoji13] [emoji13] [emoji13]View attachment 377640
What a way to complete a weekend ! ... nimefurahi kulipa kodi 100K leo, teh teh teh
#HataKwaKololoInawezekana
Kaka me leo zimegoma kwenye kl 20 nmeharbu 5[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hataree sn mzee mwenzangu ... jana nlimkosa, leo nimempata ... zimepangika vzr msemo wa #bilu97
hongera sana mkuu.View attachment 377640
What a way to complete a weekend ! ... nimefurahi kulipa kodi 100K leo, teh teh teh
#HataKwaKololoInawezekana
one day YES mkuu....never ever give up!ahahah ngoja tuendelee kusubiri meli huku nchi kavu huwenda siku moja ikapata matairi na kutufikia
God bless you mkuu.
ahahah root bana bado inaendelea kutoa laanaCity city