Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Huu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Maranguahahah root bana bado inaendelea kutoa laana
hahahaaa mkuu umenichekesha aiseee hadi nimejikuta nasahau machungu ya kanji teh tehHuu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Marangu
teteteeeh.... huyu ndio mtoto wa nziHuu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Marangu
Tunasubiri kwanza mtu awe chambo tuone upepoZa leo hamzioni au ujeuri tu
Kama umeziona si uziweke hapa na sisi tu coppy au asubuh asubuh tu ushapombeka,, ngoja maguful akuone weweZa leo hamzioni au ujeuri tu
Hahahaaa mie nasubiri bankocep wanipe timu.Tunasubiri kwanza mtu awe chambo tuone upepo
Hamna siku pesa haiko Mangi.... Si unajua tena Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo (MOSHI)....... Ukiliwa jua umeonyeshwa na yule Mweusi na Mwekundu wenye mapembe ...... Hivi Hakuna malaika mweusi kweli!!?? .....Leo nazitafuta japo odds 5,naona kama pesa yaweza kuwepo vile.
Ukimaliza hayo mashart yote una Log in unaambiwa server error au player not foundHuu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Marangu
Weka backup plan...wape wote second half over 0.5 ...... Lipatikane angalau goli moja tu second half.....Wakuu ushauri vipiView attachment 377835
ahhaahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahahHuu mchezo hauna heshima hata kidogo kama vile hauna watu wazima kwao ..... Mtu anaweka mechi 21 anakosa 1 , anaweka 1 anakosa 1 , unaweka 10 unakosa 2.... Inabidi sasa ukitaka kubeti unajifungia ndani unavua nguo zote unaimba kidogo " maepe mtoto akilia mlete".... Unachukua lipande la mkaa unaliweka kwenye kona ... Unakaanga Moyo wa kuku mpaka unakuwa majivu .... Unajipaka usoni, unatafuta damu ya mende unaisukutua afu unatema (usimeze tafadhali)... Tafuta nanasi saga changanya na chumvi ya uvinza kifuko cha 500 ... Ukipata na mafuta ya siafu uyapake kwenye uti wa mgongo .... Ukimaliza hili tambiko oga kwa Maji yenye upupu.... UTAMLA KILA SIKU usipuuze mimi nilishindwa masharti .... Ukiyaweza pesa nje' nje..... Karibuni Mganga kutoka Marangu
madura mbona cimwon meridianUkiamka na hela kwenye bonus account raha sn, ngoja tuanze kuzitumia kabla sijaanza kumrudishia kanjibah ...
Madura Utd - X2 (1.54)
Oakleigh Cannons - Win (1.76)
Dinamo Minsk - 2-4 (1.56)
------
Total Odds = 4.28
Safi mkali buddy. Nilikua bize na inplay siku mbili tatu hizi. Ila mda wa kokolo umewadia sasa. Hata kama tunajilipua hatuwezi kuacha asili yetu bwana. ligi nyingi zimeanza ngoja na mm niandae kokolo la 10k kwa m2. Naanza kuzichambua leo babaake. KOKOLO FOR LIFE.View attachment 377640
What a way to complete a weekend ! ... nimefurahi kulipa kodi 100K leo, teh teh teh
#HataKwaKololoInawezekana
nipe odds 2.Ukiamka na hela kwenye bonus account raha sn, ngoja tuanze kuzitumia kabla sijaanza kumrudishia kanjibah ...
Madura Utd - X2 (1.54)
Oakleigh Cannons - Win (1.76)
Dinamo Minsk - 2-4 (1.56)
------
Total Odds = 4.28
Dinamo minsk aisee ipo ligi gani