AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
Ndugu tena leo umefuata codes zangu, si ulisema mapema mimi ni wakala!!!. Sasa hivi unaniombea ban!!!. Pole sana kwa kipigo.Leo nimegundua huyu @lAfisaUbashiriMwandamizi ni mweupe tupu kwenye kubet, huwa anabonyeza tuu mamikeka yake yote ya asubuhi yapo settled saizi hakuna hata moja linapumua jinga sana wewe tapeli mkubwa
Mods pigeni ban hili limeingia humu kukomba pesa zetu shenz type [emoji57]
Umeona wapi?GG ya lazio ina odds 2.20! Sitaki kuamini kama hii haitatoa GG ila naona kabisa lazio hatoboi kwa Lecce!
Ndugu tena leo umefuata codes zangu, si ulisema mapema mimi ni wakala!!!. Sasa hivi unaniombea ban!!!. Pole sana kwa kipigo.Leo nimegundua huyu @lAfisaUbashiriMwandamizi ni mweupe tupu kwenye kubet, huwa anabonyeza tuu mamikeka yake yote ya asubuhi yapo settled saizi hakuna hata moja linapumua jinga sana wewe tapeli mkubwa
Mods pigeni ban hili limeingia humu kukomba pesa zetu shenz type [emoji57]
Tunaomba yako ambayo ina win ili tuifuate mkuu.Huyu afisaubashirimwandamizi tuwe nae makini sana anafanya kazi betPawa ni wakala wa kanjibai ndio maana mikeka yake yote ni lost tupuuu
huo tunaita ushoga kama umechoka kuwa mwanaume kausha sio lazima ututangazie kuwa umebadili jinsiaGirona leo wafanye majabu ili tulale na njaa ahahhaha
Huu mtego, Afcon magoli huwa adimu sana
Aisee wikendi hii watu mmevurugwa sana. Naona leo matusi mengi sana humu.huo tunaita ushoga kama umechoka kuwa mwanaume kausha sio lazima ututangazie kuwa umebadili jinsia
girona sijui wamepatwa na nini leo, namuona akienda kabisa kuniharibia mkeka wanguGirona leo wafanye majabu ili tulale na njaa ahahhaha
anaruka ruka tu kila kitu kazidiwagirona sijui wamepatwa na nini leo, namuona akienda kabisa kuniharibia mkeka wangu
Achana na huyo Dogo anayebetia kwenye Simu ya Dadayake, akitumww sukari chenchi anabakisha Jero AbetieAisee wikendi hii watu mmevurugwa sana. Naona leo matusi mengi sana humu.
Tusisahau adui yetu ni mmoja tu, kanjibai.