Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nimegundua huyu @lAfisaUbashiriMwandamizi ni mweupe tupu kwenye kubet, huwa anabonyeza tuu mamikeka yake yote ya asubuhi yapo settled saizi hakuna hata moja linapumua jinga sana wewe tapeli mkubwa

Mods pigeni ban hili limeingia humu kukomba pesa zetu shenz type [emoji57]
Ndugu tena leo umefuata codes zangu, si ulisema mapema mimi ni wakala!!!. Sasa hivi unaniombea ban!!!. Pole sana kwa kipigo.
Bado hujasema, utasema yote tu. Ni hatua unapitia kwenye betting, baadaye utakuwa sugu tu.
Soma sms za juu hapo uelewe utafauti wa codes za kimkakati na codes za kumvizia kanjibai.
Pole sana kwa kipigo, ushauri usifuate codes zangu ili pesa zako ziwe salama.
 
Leo nimegundua huyu @lAfisaUbashiriMwandamizi ni mweupe tupu kwenye kubet, huwa anabonyeza tuu mamikeka yake yote ya asubuhi yapo settled saizi hakuna hata moja linapumua jinga sana wewe tapeli mkubwa

Mods pigeni ban hili limeingia humu kukomba pesa zetu shenz type [emoji57]
Ndugu tena leo umefuata codes zangu, si ulisema mapema mimi ni wakala!!!. Sasa hivi unaniombea ban!!!. Pole sana kwa kipigo.
Bado hujasema, utasema yote tu. Ni hatua unapitia kwenye betting, baadaye utakuwa sugu tu.
Soma sms za juu hapo uelewe utafauti wa codes za kimkakati na codes za kumvizia kanjibai.
Pole sana kwa kipigo, ushauri usifuate codes zangu ili pesa zako ziwe salama
 
Screenshot_20240114_163747_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom