MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 940
- 1,573
Ndio maana ya NationalismHii AFC Cup sema hizi favourite team zinapata ushindi kwa pressure
haya sasa kula dharau zako πDharau
Dharau
Dharau
Dharau ni kitu kibaya sana, kuna website nilipita nikakuta tabiri za mechi zimeweke karibia na kila ligi kama ifuatvyo;
Almeria vs Girona
Girona W/D
Everton vs Aston Villa
Aston Villa W/D
Nigeria vs Guinea
Guinea W/D
Sasa nilivyojifanya mjuaji nikaweka mkeka hivi
Girona over 1.5
Aston Villa over 0.5
Nigeria over 0.5
Mkeka mwingine nikaweka
Girona W
Aston Villa W
Nigeria W kisha uwepo wa Victor O na wapaka powder wenzake
Pumzika kwa amani legendari.Pre-match [emoji459] US NBA Tip
Odds 7+
View attachment 1323511
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yani hapoo badooooo.. Kuna wale kina macab wa israel wahi kadeposit uendelee kumlisha kanji[emoji27]Feyenood falaaa
no wahalatia mzigo kwa spurs ashide live bet kuna odds 3.25 , hii game united anapoteza
nimewaambia mapemaaa ona sasa mnalia...egypt 1 mozambique 2...ANGALIZO KAMA UNAWEZA CASH OUT MAPEMA CASH OUT...MAANA EGYPT ANAWEZA WACHANIA MIKEKA YA STRAIGHT WIN ππ
Sasa tufanyeje yaani mamilioni ya wa tz kila siku tunamchangia kanji....tundu la kushinda beti ni 1%nimewaambia mapemaaa ona sasa mnalia...egypt 1 mozambique 2...
kubeti ni umakuπππ
π€£π€£π€£ wacha nisikilize wimbo wa Amekoma by Temba ft Q Chillahhaya sasa kula dharau zako π
Leo mambo magumuno wahala
Mambo, Mambo, yea, yeaLeo mambo magumu