pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
I think ushajibiwaMnaamaanisha nini mnaposema flexible bet na one cut bet wakuu?
Tupe mrejesho [emoji3][emoji3][emoji3]Nikasema ngoja na mimi nijaribu ku bet nikaweka mechi moja tu ya uhakika Egypt vs Mozambique
Bora umekuwa wazi Mdau ms umekubakiNikasema ngoja na mimi nijaribu ku bet nikaweka mechi moja tu ya uhakika Egypt vs Mozambique
Kuna mtu anaweka 200 aniona milioni 20 ile paleee. Baadae anaumia kwa kukosa mil 20 badala aumie kwa kupoteza 200 yake. [emoji38][emoji38][emoji23]Bora umekuwa wazi Mdau ms umekubaki
Kuna Wajuahi humu wao kila siku utasikia waweka Code ni mawajala wa Kanji utafikiria wamelazimishwa kucheza KAMARI.
Hii ndio betting bado surprises nyingi zinakuja.
Angalizo Sote:-
Betting sio ajira,tafuta vyanzo vya mapato sahihi,fanyakazi kwa bidii na ujitume zaidi,hakuna pesa lainiii kwa kufikirika
Umri unaenda
Bet kistaarabu
odd ya 1.37 ukaweka sh ngapi sasa kama sio uchuro?Nikasema ngoja na mimi nijaribu ku bet nikaweka mechi moja tu ya uhakika Egypt vs Mozambique
tupate break kidogo😉😉Morning wakuu[emoji4]
leo tujaribu tena au tupate break kidogo?[emoji6]
Mkuu nasubiri mkeka wako! Kuna mkeka mmoja wa jmosi uliusuka kiufundi sana japo ulichanika! Leta mingine tuone tutafika wapiKuna mtu anaweka 200 aniona milioni 20 ile paleee. Baadae anaumia kwa kukosa mil 20 badala aumie kwa kupoteza 200 yake. [emoji38][emoji38][emoji23]
Break kwenye kumtafuta kanji? Mbona yeye hatupi break?! Turuke nae tu madam buswaggMorning wakuu[emoji4]
leo tujaribu tena au tupate break kidogo?[emoji6]
WAKALA WA KANJI NA SHETANI WEWE ...KADANGANYE WENGINE HAKUNA SURE ODDS KATIKA BETSURE ODDS 3.39+
KAMPUNI BETPAWA
CODE: 2CE82C4
STAKE HIGH 💯
PERCENTAGE WINNING 99.9%
TRUST ME STAKE HIGH AND RELAX UKISHAKULA UJE UTAOE SHUKRAN
NOTE: KAMA 3+ KAJARIBISHIE KWA MKEO
Kaka kama hutaki tulia man sure odds kulingana na percentage winning yani makadilio ya alama ya ushindi kabla ya team kuingia uwanjaniWAKALA WA KANJI NA SHETANI WEWE ...KADANGANYE WENGINE HAKUNA SURE ODDS KATIKA BET
Apumzike Kwa amani, kweli betting inaunganisha watu wa kada mbalimbali bila kujali elimuYes Sana mkuu,tena Sana.Ndo hivyo ameanguka,trh 18.01.2024 mwili utaingia Dar kutokea Japan,alikuwa anakula PhD,r.i.p @z.z.rumisha
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Watu wanashambuliana wenyewe wenyewe badala ya kumshambulia Kanji Kwa pamoja, mtu akituma code angalia kama unaona haijakaa vizuri unaachana nayo kuliko kumshambulia wakati mikeka yote wanaopost na wasiopost ni kilio Kila konaHahaha ila humu jukwaani kunafurahisha sana ndio maana wengine tumeamua kukaa kimya tu, tunampiga kanji bila kelele kabisa[emoji16]
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app