Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20240115_084628_Chrome.jpg
 
Nikasema ngoja na mimi nijaribu ku bet nikaweka mechi moja tu ya uhakika Egypt vs Mozambique
Bora umekuwa wazi Mdau ms umekubaki

Kuna Wajuahi humu wao kila siku utasikia waweka Code ni mawajala wa Kanji utafikiria wamelazimishwa kucheza KAMARI.

Hii ndio betting bado surprises nyingi zinakuja.

Angalizo Sote:-
Betting sio ajira,tafuta vyanzo vya mapato sahihi,fanyakazi kwa bidii na ujitume zaidi,hakuna pesa lainiii kwa kufikirika

Umri unaenda


Bet kistaarabu
 
Bora umekuwa wazi Mdau ms umekubaki

Kuna Wajuahi humu wao kila siku utasikia waweka Code ni mawajala wa Kanji utafikiria wamelazimishwa kucheza KAMARI.

Hii ndio betting bado surprises nyingi zinakuja.

Angalizo Sote:-
Betting sio ajira,tafuta vyanzo vya mapato sahihi,fanyakazi kwa bidii na ujitume zaidi,hakuna pesa lainiii kwa kufikirika

Umri unaenda


Bet kistaarabu
Kuna mtu anaweka 200 aniona milioni 20 ile paleee. Baadae anaumia kwa kukosa mil 20 badala aumie kwa kupoteza 200 yake. [emoji38][emoji38][emoji23]
 
SURE ODDS 3.39+
KAMPUNI BETPAWA
CODE: 2CE82C4
STAKE HIGH 💯
PERCENTAGE WINNING 99.9%

TRUST ME STAKE HIGH AND RELAX UKISHAKULA UJE UTAOE SHUKRAN

NOTE: KAMA 3+ KAJARIBISHIE KWA MKEO
 
Mimi ni miongoni mwa wateja wakubwa wa kampuni ya Premier Bet mpaka kufikia hadhi ya VIP customer. Nimekuwa nikibet zaidi ya milioni moja kwa siku lakini kuna trend moja nimeishuhudia siku za karibuni kwa kampuni hiyo kufuta baadhi ya mechi sense odds kubwa baada ya kula. Pia kumekuwa na trend ya kampuni kubadilisha option aliyoweka mteja ili kumuibia hasa pale anapokula.

Mbaya zaidi ukiwapigia kitengo cha huduma kwa wateja utafokewa au wasipokee simu. Wadau wa betting kuweni makini msije kuibiwa na kutapeliwa na hawa matapeli wanaojua kukusanya tu na kuibia wateja

Chini nimeambatanisha mikeka miwili ya mechi moja ambapo mkeka uliopoteza mechi imehesabiwa lakini mkeka uliokula mechi imefutwa
Screenshot_20240113-073514.png
Screenshot_20240113-073557.png
 
Hahaha ila humu jukwaani kunafurahisha sana ndio maana wengine tumeamua kukaa kimya tu, tunampiga kanji bila kelele kabisa[emoji16]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Watu wanashambuliana wenyewe wenyewe badala ya kumshambulia Kanji Kwa pamoja, mtu akituma code angalia kama unaona haijakaa vizuri unaachana nayo kuliko kumshambulia wakati mikeka yote wanaopost na wasiopost ni kilio Kila kona
 
Back
Top Bottom