Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Daah...! Mi nilikuwa najiandaa kukupa Pole...Daah!
 
noumer sana mkuu.
 
si ungeuachia tu hapo kitandani uendelee na ndoto yako upate huo mpunga?
 
wakuu aliewahi kushinda hii super1&2 utupe mrejesho maana unavyobeti kiasi cha fedha kinaandikwa mfano 67345800 lakini baada ya kubeti kwenye risiti hawaandiki kiasi hicho cha fedha wanaandika 180@hii ni kupitia www.mbet.com
 
Hahahaa
 
Tuanzishe group la whatsapp tuwe tunapeana predictions za kila siku tupige mihela.kama mnaafiki wekeni namba zenu (pm)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…