JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
C ni gg ya ov 2+ na apo c zipo goli 3,au ndo Kila timu ipata goli2 na kuendelea.hapo uliweka timu zote zifungane 2+
Msaada kwenye tuta,kwa mujibu wa ayo matokeo na iyo option ni sawa au laaaView attachment 2886692
Psg kaharibu sana biashara jana. Alikuwa tegemeo kwelikweli lakini alichokitoa ni tofauti kabisa na matarajioWakati Naenda Kulala niliacha PSG anaongoza Goli mbili, Nimeamka sioni Sms ya Muamala [emoji2369][emoji2369]
Kuangalia kumbe aliishia Ku draw [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
EACH TEAM TO SCORE 2 OR MORE GOALS.Msaada kwenye tuta,kwa mujibu wa ayo matokeo na iyo option ni sawa au laaaView attachment 2886692
Ok!ok ila each na and sijaona kbsa,mwenyew mi odds ilinistua nikahic mhindi kajimixEACH TEAM TO SCORE 2 OR MORE GOALS.
Limekosekana goli 1 kwa hiyo timu iliyopata goli 1 ili mkeka uwin.
ODDS tu zinaakisi hilo
mfano mechi ya fulham v everton EPL kwa option kama hiyo ina odds 4.82
Kwenye option inabidi kuwa makini na OR na AND hasa pale zinapokuwa zimefichwa kiaina.
Hamna each/andOk!ok ila each na and sijaona kbsa,mwenyew mi odds ilinistua nikahic mhindi kajimix
GG/2+ YES = EACH TEAM TO SCORE OVER 1.5Ok!ok ila each na and sijaona kbsa,mwenyew mi odds ilinistua nikahic mhindi kajimix
ulichodhani umechagua wewe[emoji1484]Hamna each/andView attachment 2886995
HAHAHAHAH..... mtoto wa nzi umetisha sana.... mi bado nipo Mwanza.... ubize tu wa hapa na pale. kubet bado nabet japo mara chache sana napopata nafasi. nakumbuka kubet nimeanza mwaka 2010 nikiwa mwaka wa kwanza chuo pale IFM tulikua tunaenda pale new africa kuweka mikeka manualy sikumbuki vizuri tuliakua tunawekaje badae vodacom wakaingia ubia na M bet kwenye kuweka mikeka mitandaoni..... kwangu mm makampuni yaliyonilea kwenye betting ni m bet na meridian. zamani option zilikua chache sana lakini kanjibhai alikua anapasuka vibaya.Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.
Iraq na mpira wapi na wapi jamaa yangu!?Hamna Kitu Kinauma Kama Timu ya Kwanza Kwenye Mkeka ndio Inachana [emoji2297]
Haya IRAQ nashukuru kwa kusepa na afu 5 yangu
Iraq na mpira wapi na wapi jamaa yangu!?
Stress zingine mwajitakia wenyewe! Kujitoa muhanga! Halafu mumsingizie Iraq na umejilipua mwenyewe!
Hao Iraq kitu pekee wanajua ni jihad( kujitoa muhanga!
By the way pole!
Weka codenimekumis