Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

A80EEA3 betpawa.ukipenda unaweza kuedit.ila Mimi nimeona hivyo.
 
Aisee huu uzi unakaribia haribika kwa kweli.
Hawa PSG nimewapa over 2.5 goals. Sitaki jau kabisa.
 
Nikushauri uachane na kumuweka fiorentina kwenye mkeka. Hao walishakuwa wajinga sana.
 
Mkeka upo poa sana. Ila hizo timu za italy ungeziondoa. Kule wajinga sana.
 
Naombeni Odds 4 za Uhakika
Weka
-FT over 2.5 goals mechi za kuanzia leo ijumaa hadi jumapili kwa Bayern Munich, Borussia Dortmund, Arsenal, Barcelona na Real Madrid.
-Pia mechi ya Girona ipe dabo chance ya Girona win or draw.

Hapa naona odds zitavuka 5. Kwangu ndiyo matokeo ya uhakika weekend hii.
 
Yangaaaaaaa
Alitabiriwa na mdau hapo juu

Sema leo Kagera wamecheza na saikoloji ya wachezaji wa Yanga

Na Yanga wakaingia kwenye mfumo wa Kagera,,,, kujiamini sana wakiwa slow kumbe mda unayoyoma!!!

Naamini Yanga wangechangamka kidogo tu Kagera alikuwa anakufa

Ila voodoo ipo,,, kitendo cha Kagera kuchelewa Kuingia uwanjani ilikuwa na maana kubwa sana kwa wasoma nyota,,,, ndo mpira wetu Africa na Arabia
 
Pia wikendi kuna pesa ya bure kwenye dabo chance ya kuwin au kudraw kwa timu za Girona ya spain na Totenham ya EPL.
Hizo mechi mbili tu ukizipa hiyo dabo chance odds inafika 1.60.

Hizi dabo chansi mbili weka hata mahali, utapata 60% profit, maisha yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…