Daaah pole sana....Maombi yenu jamani. Nia yetu in moja adui wetu ni mmoja
Mtanistua nitoe hela after 90min
Hata nikose mtaji,nitashare nanyi mikeka pale ninapodhani pana pesa wazee.
hapa pana odds kama 10 hivi na sure at 90%
WIGAN "WIN"
HAMILTON "Y"
HIRBENIAN "Y"
WALSALL "WIN"
All the best
France League cup goal first half 0-1 (l0-1)
bora yan uchina kwa 2+ huwa inatoa sometime league ya Japani ni ya hovyo sanamkuu, hayo matimu ya japan na uchina ni MAJIPU!
Mimi nimetupia Team 40 tu..
Odds 1753
Stake 2000/=
#Mungu tusaidie!!!
Mmmh ... I would not try this for a league cup games. Hapo mara nyingi zinacheza timu za ligi kubwa na ndogo. Mara nyingi ni vibonde na wakali. League cups kucheza I1+ ni salama zaidi Chief.
wali like mawili4odds mambo ya dabo chansi sasa mahindi chukua na hizo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wadau, Hivi hamna Betting ya Mieleka ( Wrestling).....??????[emoji22][emoji22]
Thinking loudly....
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Am laughing loudly
Buddy me kokoro linagoma wk ya pl sahv ! [emoji1] [emoji1]Mmmh ... I would not try this for a league cup games. Hapo mara nyingi zinacheza timu za ligi kubwa na ndogo. Mara nyingi ni vibonde na wakali. League cups kucheza I1+ ni salama zaidi Chief.
Siku yoyote ukiona maandishi ya hivyo ujue nimeliwa zaidi ya 1M
Mkuu mie nimekosa 1.6m kisa tu ipiswich kagongwa na accrington kushindwa kutoa 2+Ma CUP haya ni shida sana...... Nimeisha kama sabuni ya mche ....
hahahaaaa daaaa mkuu tehMa CUP haya ni shida sana...... Nimeisha kama sabuni ya mche ....