Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

luton juzi kati kamkimbiza mtu 4-4 leo anapigwa na timu iliyoshika mkia na nilimpa dc.....

hivi vitimu vya kijinga marufuku kuvipa dc, ni overs na kona basi
 
Luton [emoji2369]

Chesterfield [emoji2369]

Wolvers [emoji2369]

Cardif city hata Goal Moja? [emoji2369]
 
Roma na Inter niliwapa Under 3.5

Kipindi cha Kwanza Over 2.5 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Betting [emoji119][emoji119]
roma kabadilika mnooo,
niliwapa gg odds 2 zilikua, sema kuna vichaa wamechana mkeka mapema!
 
hawa vichaa wamechana mkeka wa hela nyingi kweli.....na nimedeposit leo baada ya kama miez 3 kupita bila kudeposit
 
Tunahitaji Mtu mmoja Atuchambulie namna Ya Kubet siku ya JUMAMOSI

PUNTERS Wengi tunapata hasara siku ya Jumamosi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…