Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu tupien tips bas mbona mmekaa kimya kuna ki milion hakina pakwenda starehe nimekula weee na hakajaisha nimelala na madem 8 lakin bado hela haitak kuisha hebu nipen tips za kulost, eeh barca, arsenal, yanga, astonivilla, ajax, alt madrd , nani nimuongeze wa kulost ili nitapoitazama settled toka mwanzo mpaka mwisho lost tu ili m1 yangu iishe kihalali mana sion pakuipeleka mana kwetu shert hela ya jana ule yote isibakie asubuh yake
 
guys jana kanji kaniweza[emoji24], although moja ilinifuta machozi but kuna zingine niliweka very big stake na nikakulwa[emoji24], nimelia sana, leo nimefanya research mwenyewe , very small odds but i know is sure[emoji120]

kidogo tu narudi
 
naleta moja in a few weka hata 2m if uko nayo mkuu
 
Mkuu ujue duniani shetwani bado hajafa. Kumbuka kuna wahitaji wengi ambao wanalia kila uchao kutafuta angalau hata mlo mmoja tu kwao ni changamoto.

Hivyo kuteseka kwao ndio fulaha ya shetwani. Na kwa bahati mbaya shetwani anajizihilisha kupitia watu.

Hivyo kama umeamua kutoa sadaka toa tu bila kuangalia shetwani anasemaje kupitia hao vibalaka wake

Maana hio code utakao toa hapa ni sadaka tosha sana (huwezi jua)
 
Hapo mtoe ATL na Aston ,,, wengine wape kisha tulia
 
guys jana kanji kaniweza[emoji24], although moja ilinifuta machozi but kuna zingine niliweka very big stake na nikakulwa[emoji24], nimelia sana, leo nimefanya research mwenyewe , very small odds but i know is sure[emoji120]

kidogo tu narudi
Ndo maana mnaishi umri mrefu ijapokuwa miwili yenu inazeeka mapema!!
Hapo umelia umeondoa sumu,,, akina sisi ni kujisonya tu!!

Ndo betting bhana,,, safari isonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…