Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Very possible kwa wazee wenzangu wa Single bet kwenye Afcon


Uwezekano wa mabao macheche ni mkubwa mmno




Japo mpira unadunda lakini kuna sababu nyingi Wenyeji kubeba hii ndoo




Mchezo utakua na tension kubwa waamuzi watahakikisha hakuna makosa
Matumizi ya VAR yana nafasi kubwa kutokea


Uwezekano wa Refa kwenda kujiridhisha upo mkubwa pia


Stake what you can afford to lose [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ligi pendwa leo iko ,,,, haya namungo, Dodoma na Yanga

Mi nimeona ddm na namungo win draw ila Yanga win
 
Sawa Mkuu.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
nigeria anashinda ft
kule ungreza man hu anaweza shinda au kudiroo. guimaraes handicap +1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…